Chadema hamkushiriki mkutano, acheni walioshiriki waunde timu inayowafaa. Kelele za nini. Nyie tazameni tu ,train ndiyo inaondoka hivyo bila nyie. Akili za kuambiwa na Lissu muwe mnachanganya na zenu.
Tulieni mfundishwe siasa.
Please remain within the context of the issue.. Chadema wamealikwa wawe sehemu ya mkutano, wamekataa, lakini hapo hapo wanataka wafanye maamuzi ya yanayoendelea ndani ya kikao hicho hicho wao wakiwa nje..Hakuna uhusiano na swali unalouliza.
Duh!Mjumbe enzi za Magufuli akidai kuwa Magufuli ni zaidi ya Mungu,ni zaidi ya Yesu na ni zaidi ya Mtume Mohamadi🤡🤡🤡View attachment 2055232
Huyu? Eti akaukate mkono unaomlisha?
Uliishazoea kuweka TUME yenu ili ushindishwe. Miaka yazidi kwenda lakini wewe hukui kutwa kulilia mbeleko.Chadema hamkushiriki mkutano, acheni walioshiriki waunde timu inayowafaa. Kelele za nini. Nyie tazameni tu ,train ndiyo inaondoka hivyo bila nyie. Akili za kuambiwa na Lissu muwe mnachanganya na zenu.
Wa
Zitto ANATUMIKA IPASAVYO SIO MPINZANINaomba kumuuliza Mhe. Zitto kama ameshiriki kuunda hii timu iliyotajwa na Msajili au Msajili Kwa namna alivyoona inafaa ndiye kaja na wajumbe wake? Mwenyekiti wa timu hii kweli tunaamini ni mtu wakumleta kwenye hoja nyeti wakati alishatoa kauli mbili tofauti juu ya uchaguzi uliopita? Ana kauli ya baada ya uchaguzi na baada yakuingia awamu wa sita.
Huyu Mwenyekiti wa amani wa Dar es salaam tunaamini anatuvusha na Makamu wake?
Wawajilishi wa vyama vya siasa ndo Hawa? Wawalishi wa Asasi za kiraia nafasi hazina majina means awakushirikishwa wateue watu?
Nataka Kuanza kuamini katiba mpya ni ngumu kupatikana Kwa namna agenda zinavyowekwa meza kuu
Kwani MHESHIMIWA POLEPOLE anasemaje kuhusu hili ??Wasijaribu kutuletea UTOTO, hakuna Tume huru hapo.
Tume huru inapaswa kuwa na sifa hizi;
1. Vyama vya siasa vipendekeze angalau majina ya Wajumbe wawili wawili.
2. Taasisi za kidini zipendekeze zenyewe majina ya Wawakilishi wao
3. Mashirika ya kutetea haki za binadamu na utawala bora yapendekeze yenyewe wawakilishi wao huko.
4. Vyama vya wafanyakazi, wakulima, wanafunzi, NGOs n.k vipendekeze wawakilishi wao vyenyewe.
5. Wajumbe wapigiane kura na kuchaguana wenyewe huko ili kupata viongozi wao (Rais asihusike kuchagulia viongozi).
Eti kwa vile hawakuhudhuria ndio wasihoji, CCM na ACT wanataka kujimilikisha mchakato wa tume huru wakati inajulikana wazi walio initiate vuguvugu la KatibaMpya na @tumehuru ni Chadema.Mkuu
Mavichaa haya madikteta!
Siasa ni mahesabu. Kwa hili crediti ni CCM na ACT. After all ndiyo vyama vikubwa nchini Tanzania. Chadema ni chama chenye mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa. Si mbaya akawaacha vyama vyenye uwakilishi mkubwa wa wananchi wakapanga mambo ya kitaifa kwa niaba yao. Ndiyo democracy by representation inavyotaka.Eti kwa vile hawakuhudhuria ndio wasihoji, CCM na ACT wanataka kujimilikisha mchakato wa tume huru wakati inajulikana wazi walio initiate vuguvugu la KatibaMpya na @tumehuru ni Chadema.
Unajirurahisha. Labda kunyukana kwenye Club house ya Maria na siyo TanzaniaMkutano wa Mutungi na vyama? Kuwa serious! Umeyasahau aliyowafanyia wapinzani huyo Mutungi wa maji. Katiba ni yetu wananchi, msipotaka tutaidai kwa maandamano. Hatutaki kunyukana kama Kenya, Malawi, Zambia lakini mkitulazimisha, tutanyukana.
Tunatumia democracy by representation. Vyama vya siasa hivyo vikubwa nchini CCM, ACT na CUF vinawakikisha vyama vya siasa, wengine tutawakilishwa kupitia wawakilishi wa dini, asasi za kiraia, wasomi na wawakikishi wengine. Chadema tulieni, mnawakilishwa na vyama vilivyo juu yenu. Mlipewa nafasi ya upendeleo mkadanganywa na Lissu mkasusa. Swallow the painNa kwanini wasihoji, wanaotakiwa kuhoji ni wale tu waliohudhuria? Kwani posho za wajumbe zinalipwa na CCM au ACT si wanalipwa kwa kodi za wananchi. Hivi wanafunzi waliwakilishwa na nani wakulima je kwahiyo wasihoji.
Masuala ya uchaguzi ni ya kitaifa mtu yeyote hata kama hana chama na hakuwakilishwa ana haki ya kuhoji chochote.
Tafsiri ya tume huru kwako ni ipi mpaka umuone lema akiwa mjumbe .akili za wapi nyieCDM hawahitaji wala kuona wivu kutokuwepo kwenye hiyo tume, wanachotaka ni tume huru ya uchaguzi, na uchaguzi uwe huru kweli. Ikitokea ikawa hivyo, uandae dawa za pressure za kutosha, maana utaona ulichokuwa hupendi kukiona.