Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Chiba nani asiyefahamu kuhusishwa na ulemavu wakati yeye mwenyewe kalitumia kwa ulemavu? Chiba akiwa Yamoto Band na mguu mmoja alionekana na kila Mtu msitufanye wajinga.Ameomba radhi! Seems alijua ni jina la utani lakini hakujua linahusishwa na ulemavu. Itakuwa ajabu hili tukitaka kulifanya topic.
Nashauri likomee hapo, kulizungumza zaidi halitamuumiza tu Zitto bali hata ndugu yetu. Mengine tuache yapite.
Tumshukuru tu kwa vile yeye hawezi kupata madhara.