Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe apoteza jimbo la Kigoma Mjini

Mambo ndiyo kwanza yameiva. Fanyeni mobilization ya kutosha kwa wananchi ili waingie barabarani tuanze kubomoa flyovers
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Daah' sheeeda, mkuu unaweza?
Mm nitapqnda na nyundo kule juu, kutwa nzima kazi yangu ni hiyo.
 
Watanzania wazalendo wamefarijika Sana, wazandiki walipopigwa mwereka wa nguvu. Tanzania ya kijani.
 
Akose tuu. Mtu anayeweza kuandika barua kisirisiri ili tusiokua na uwezo tukose hata support ya kusomesha watoto wetu!!!
Huyo sio muwakilishi wa wananchi ila anatumia migongo ya wananchi kuisaliti nchi yao kwa faida ya tumbo lake
 
Zito alimsifia Sana Magufuli bungeni kipindi anaingia Madarakani Sasa kaonja joto ya jiwe
Wakati ule alikuwa anataka kupewa cheo, yaani ilikuwa kilemba cha ukoka. JPM rais bora kabisa kutokea Tanzania. 5 years sio Watanzania tu wanaomsifia hata mataifa makubwa wanamuhusudu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…