Hakika akili zilikuwa zimewaruka kichwani.Hii habari sijui uelewa wangu mdogo!!. Unasema kikwete alimwita na kuahidi kumpa uwaziri akijiunga CCM. Kikwete huyohuyo anamwonya asihamie CCM kwani hakina muda mrefu madarakani. Rudieni kuisoma habari hapo juu. Je Kikwete na Zito walikuwa wamelewa Pombe?
Tulistuka mapema sanaNajaribu kuwaza tu, sijui CHADEMA ingekuwaje leo, kama ingekuwa chini ya Zitto hata kwa mwaka mmoja tu!
Kumbe biashara ya CCM kununua wapinzani ilianza kitambo sana?Zitto Kabwe amesema mwaka 2012 alipata changamoto chama chake cha wakati huo cha CHADEMA akidai ilikuwa juhudi ya kumzuia kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Zitto amesema kulikuwa na makubaliano baada ya kugombea uchaguzi wa nyuma yake kwamba amuachie kijiti Freeman Mbowe na atampokea miaka mitano ijayo na badala yake miaka miwili kabla aliondolewa nyazifa zote za uongozi Chadema na wapo katika kundi lao walisema waende CCM.
Zitto Kabwe amesema Jakaya Kikwete alimuita na kumwambia ana machaguo mawili kwa kuwa alikuwa anachipukia kwenye siasa, kwanza kujiunga na chama tawala cha CCM na endapo angefanya hivyo angempa uwaziri wa fedha siku inayofata.
Rais mstaafu Kikwete alimpa angalizo Zitto Kabwe kwamba kwa maono yake CCM haitakuwepo madarakani muda mrefu ilhali Zitto bado kijana mdogo na kumshauri kutafuta jukwaa lingine lakini sio la chama tawala.
Zitto amesema kwenye hicho kikao mmoja wa waliokuwepo ni rafiki yake Deo Fulikunjombe naye akamshauri asiende CCM.
Ni long runJaribu kunifafanulia nione kama kweli kuna tofauti.Ukishindwa kufanya hivyo wewe ni mjinga tu wa kusoma na kuandika
Ni kama mna roho ya paka.Tulistuka mapema sana
Samia aweza kuwa ndio Rais wa mwisho kutokea ccm , hana uwezo wa kumaliza Chadema , vinginevyo atamalizika yeye kama SizonjeNi kama mna roho ya paka.
Kuna msemo unasema paka ana "maisha tisa",... najuwa tafsiri hii si rasmi, lakini nnina hakika naeleweka.
Chama kimepita kwenye misukosuko ya kutisha sana; lakini hofu yangu kubwa ni kwamba mtu asiyekuwa na uwezo kama Samia ndiye anakuja kuwamaliza. Inashangaza sana!
Mmmmh. Mki'survive' safari hii huenda hamtapotea tena.Samia aweza kuwa ndio Rais wa mwisho kutokea ccm , hana uwezo wa kumaliza Chadema , vinginevyo atamalizika yeye kama Sizonje
Hahaha mama akawapumbaza na juisi za ikulu wakawa wanakenua haooo ,,baadae wanashtuka wamepigwa banzi la kisogoni wakigeuka hawaoni mtu ,,,walijua wanapambana na watu wa mwendazake kumbe nao wanatumika tuNi kama mna roho ya paka.
Kuna msemo unasema paka ana "maisha tisa",... najuwa tafsiri hii si rasmi, lakini nnina hakika naeleweka.
Chama kimepita kwenye misukosuko ya kutisha sana; lakini hofu yangu kubwa ni kwamba mtu asiyekuwa na uwezo kama Samia ndiye anakuja kuwamaliza. Inashangaza sana!
Mama hana uwezo huo , alichoweza ni kuuza Bandari kwa Wajomba zakeMmmmh. Mki'survive' safari hii huenda hamtapotea tena.
Sitegemei kamwe kwa kada mwaminifu wa chama kama wewe kuona hatari inayo wanyemelea mapema hivi. Mtakuja kustuka kukisha kucha, na wakati huo 'stori' zitakuwa nyingine kabisa. Kirusi cha Samia tayari kimo damuni mwenu, subirini tu kiwamalize, au kwa bahati tu mwili wa chama chenu kiote usugu dhidi ya kirusi hicho. Lakini siku ndiyo zinayoyoma hizo.
Hili tuliachie hapa mkuu wangu 'Erythro.'
Inabidi kucheka, ingawaje haya ni mambo mazito sana yanayohusu hatma ya taifa letu.Hahaha mama akawapumbaza na juisi za ikulu wakawa wanakenua haooo ,,baadae wanashtuka wamepigwa banzi la kisogoni wakigeuka hawaoni mtu ,,,walijua wanapambana na watu wa mwendazake kumbe nao wanatumika tu
Nenda kalale mkuu 'Erythro', panapo majaaliwa tuonane hiyo kesho.Mama hana uwezo huo , alichoweza ni kuuza Bandari kwa Wajomba zake
Naandaa nyaraka za Chama za Jumatatu , silali leoNenda kalale mkuu 'Erythro', panapo majaaliwa tuonane hiyo kesho.
Mwanasiasa usimwamini hata akiwa baba yako mzazi"Mwanasiasa amini salaam yake na jina lake, mengine muachie mwenyewe"---- Zitto Kabwe
Sijui lkn pia usimfananishe keynes na huo uchafu.Lord Keynes alipata gpa ya ngapi?