Hakika akili zilikuwa zimewaruka kichwani.Hii habari sijui uelewa wangu mdogo!!. Unasema kikwete alimwita na kuahidi kumpa uwaziri akijiunga CCM. Kikwete huyohuyo anamwonya asihamie CCM kwani hakina muda mrefu madarakani. Rudieni kuisoma habari hapo juu. Je Kikwete na Zito walikuwa wamelewa Pombe?
Kwa hiyo ni kwa msingi wa ushauri huo wa Kikwete, Zitto akaanzisha chama haraka ili achukue nafasi ya CCM iliyokuwa mahututi?
Zitto ndani ya CHADEMA ulikuwa ni mradi wa kuiangamiza CHADEMA.