Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
marekani kutwa wanapigwa risasi watu kama mbwa mbn husemiWa Africa hawakupaswa kupewa uhuru. Ikiwa baadhi yao wana mawazo kama yako haya. Kushinda kiti cha ubunge mpaka uwaze kuwaumiza wapinzani wako ?!
Siasa za ki communist na za ki dictator za kipumbavu sana .
Tu unawajua ninyi mnaolilia viti maalum kisa wake zenu hawajaenda, hamtafurahia lolote zuri lifanywalo na Zitto au ACT na hamtasikitika kwa lolote baya litakalowafika maadam viongozi wenu hawajawapa maelekezo ya vipi muendeZitto na CCM ni kitu kimoja ,anatengeneza kiki ili ionekane ameenda Kama mpinzani wa kweli.
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA.
Katika uvamizi huo gari yenye namba DFA inasadikiwa kuwa na kura feki zilizokwishapigwa.
Tayari ameshamjulisha tukio hilo OCD Kibondo.
Miongoni mwa gari hizo mbili zinadaiwa kuwa na watu waliojihami kwa mapanga
Hii gari naifahamu mpaka dereva wake, 2020 ilikuwa na no T2020JPMKiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA.
Katika uvamizi huo gari yenye namba DFA inasadikiwa kuwa na kura feki zilizokwishapigwa.
Tayari ameshamjulisha tukio hilo OCD Kibondo.
Miongoni mwa gari hizo mbili zinadaiwa kuwa na watu waliojihami kwa mapanga
CHADEMA wanajitambua snNdio mana chadema wakagoma kushiriki uchaguzi.
Huyo naye ni mmakonde mwenzako wa hapo kijijini kwenu Nanguruwe!Naona unatangaza biashara View attachment 1787125
Nyumba kubwa ni chademaZzk ni nyumba ndogo ya ccm
Ingawaje wao ndio waliovamiwa na gari tatu lkn wanadhan kat ya hizo tat moja wapo wanadhan labda imebeba kura fekiKiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA.
Katika uvamizi huo gari yenye namba DFA inasadikiwa kuwa na kura feki zilizokwishapigwa.
Tayari ameshamjulisha tukio hilo OCD Kibondo.
Miongoni mwa gari hizo mbili zinadaiwa kuwa na watu waliojihami kwa mapanga
Mwana kulitafuta mwana kulipata. Hali anaijua na ameingia kichwakichwa. Asilalamike.
Hawapigani risasi sababu za uchaguzi. Bali mambo ya ubaguzi na uhalifu wa kawaida. Hata Trump alipoleta akili za ki Maghufuli walimdhibiti kupitia katiba. Kwao uchaguzi siyo swala la kufa na kupona.Marekani kutwa wanapigwa risasi watu kama mbwa mbn husemi.