Inasikitisha sana, inafedhehesha sana kwakweli.Do you want the government kukutambua ndio utume pesa Kwa mama au baba?
Uraia pacha huko ndo kutambulika kwenyeweDo you want the government kukutambua ndio utume pesa Kwa mama au baba?
Huyu naye eti ni kiongozi wa chama cha siasa?Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini.
Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa.
View attachment 3188343
Naunga mkono mtazamo wa Zitto. Diaspora tuleteeni pesa nyumbani story za kwenye clubhouse hazitusaidii sana.
Asante sana kwa kuliweka hiliInternational development funding
Find and apply for funds to run international development projectswww.gov.uk
Nenda hapo ☝️au register nao utapata funding round zote notification. Kama ni permanent resident wa UK it’s even easier.
Hela zingine inabidi ulipe kwa riba ndogo.
Nchi kama US nje ya US-Aid kuna taasisi kibao zenye misaada kama hiyo ndio wakenya wanatumia.
Sio kwamba watanzania hawajui source of capitals, ni siasa zetu na akili za washirika wetu (ndio zinatia uvivu kufuatilia).
Otherwise it’s nothing special
Zitto Kabwe ameingia katika mtego wa watu wengi wajinga wa kuabudu pesa, kushindwa kuchunguza mambo kwa kina, na kutoa kauli znazoongozwa na chuki.Kama kuna namna yeyote Diaspora wa Kenya wanafanya vizuri kuliko wa Tanzania itakuwa ni policies, na bad leadership ya Tanzania
Kiongozi kuna maeneo ukienda (kama una marafiki) sahihi. Hapo mnapeana deal tu.Asante sana kwa kuliweka hili
Kuna fursa nyingi ila wabongo maneno mengi
Sijaona Tz katika fund zote hizo daa
Mkuu bora uwafungue kidogo
Mkuu ulichoandika umewaza mara mbili? Nani amekwambia diaspora and the like hawatumi pesa kwa wazazi wao? Umejuaje na kwa factor gani? Hoja aliyojibiwa Jepesi Kabwela ni hoja jumuishi, akimaanisha watu watume pesa za maendeleo ya nchi kama nchi, mfano investment, na sio kutuma hela (ya kula) kwa wazazi kama ambavyo unajaribu kusema.Do you want the government kukutambua ndio utume pesa Kwa mama au baba?
Hata kwa twit ameingiza pesa toka kwa mamaZitto ni wale wale anapenda vitu vya bure bila kufanya kazi
na tayari uko utaratibu maalumu wa kuwatambua kisheria,
Hii inajulikana sana , hawana mchango wowote zaidi ya kupiga kelele tu
Sio tuu wanakesha huko hao vibaraka ndio wanamdanganya LisuZitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini.
Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa.
View attachment 3188343
Naunga mkono mtazamo wa Zitto. Diaspora tuleteeni pesa nyumbani story za kwenye clubhouse hazitusaidii sana.
Kuchangia kwa maana ya kupeleka ela kwa familia na ndugu zao sio kuchangia miradi ya ummaNi lazima wachangie? Kwa katiba na sheria Ipi?