Zitto Kabwe: Diaspora hawatumi pesa nyumbani, kazi yao ni kukesha Clubhouse

Kuchangia kwa maana ya kupeleka ela kwa familia na ndugu zao sio kuchangia miradi ya umma

Hela sio ela.

Ni lazima kuchangia ndugu na familia? Kwa sheria Ipi? Kwanini wao wasijitafutie? Huyo diaspora anachangiwa na nani?
 
Ni vizuri kupeana michongo kama kuna uaminifu wa hali ya juu
Mimi Nana miaka zaidi ya 30 hapa London ila sijuani na watu wengi na sio kwa ubaya
Ila sio mbaya kujua biashara zinavyoenda na kama kuna connection
Wakenya nimekutana nao sana kwenye migahawa na wengi wako kwenye biashara na wengine wamehamia kabisa Tz na kutuma vitu hapa
Hao nawajua na wanakuambia wanachofanya kama upo interested unafanya nao
Ila ni vizuri kuwa pamoja na kushirikiana kwa mambo mema
Ila kwa kweli sisi tumedhulumiwa sana haki zetu huko kama dual
 
Huyo magufuli si ndie alikuwa anachota hala za watu kwenye account za bank
 
Haya mambo yakupenda pesa za kitonga toka nje ndo maana vijana wanaharibiwa madifu.......na uzuri jamaa wameshasoma akili za wengi humu,,,,,huku unavutwa na mwarabu huku unavutwa na mzungu ukileta njaa za kijinga unakatiwa dolare ila ndo hivyo unatolewa vyeo
 
PayPal imeruhusiwa Tanzania??
 
ni muhimu sana kufuatilia mambo haya kwa karibu na umakini mkubwa bila kuzira 🐒

Jibu lingekua fupi kuliko hayo maelezo. Huo utaratibu umeanza lini? State the date.
 
Ni lazima wachangie? Kwa katiba na sheria Ipi?
Hawa kina Zitto ama kwa kujua, ama bila kujua, wanaongozwa na chuki na ujinga.

Wangeongozwa kwa mantiki wangejua kuwa kuwagawanya raia kwa vigezo vya umasikini na utajiri, walio diaspora na walio nyumbani, si siasa nzuri, ni ujinga tu.
 
Huu ndio ukweli,imagine unakomaa kubeba boksi kwa miaka 3 usiku na mchana hulali vizuri baadae unamtumia mtu pesa ili asimamie projects zako hela zinatafunwa na mradi haufanywi baadae ukiulizia update unapewa kiswahili.
Sasa ni nani mjinga atakayeenda kupambana nje ya nchi kwa ajili ya kumtumia mtu mwingine pesa,haina mantiki
 
Siku zote watu wanaongelea Diaspora lakini hata maana ya neno Diaspora lina maana gani hawajui.
Kuna watu wanaongelea habari za uchumi hata neno uchumi hawajui maana yake.
Binafsi sizani kama tunaitaji Diaspora watume pesa nyumbani bali tunaitaji elimu/ujuzi waliopata huko walipo utusaidie kama Taifa.
 
Jichanganye na watu sahihi, ulaya deal kila kona kiongozi.
 
Mtanzania aliyepo kwenye system fulani ya kutoa vibali akisikia ni Mtanzania mwenzake ndiye anayeanzisha uwekezaji mkubwa anaumia na anaombea ufeli wazo lako lisifanikiwe,ila akisikia muhusika ni mgeni anafurahia na kibali kitatolewa chapchap.
 
Mtanzania aliyepo kwenye system fulani ya kutoa vibali akisikia ni Mtanzania mwenzake ndiye anayeanzisha uwekezaji mkubwa anaumia na anaombea ufeli wazo lako lisifanikiwe,ila akisikia muhusika ni mgeni anafurahia na kibali kitatolewa chapchap.
Ni shida.

Tanzania ni bado, kwenye uwekezaji wa ndani in terms of value addition.

Bado kuna fursa kubwa sana.
 
Ukisoma somo la propaganda Kuna kitu kinaitwa "SCAPEGOAT" wanasiasa watanzania wanajifanya kuwarushia mpira wananchi kama ndio tatizo la Tanzania ilihali kimsingi tatizo la Tanzania ni Wanasiasa waliopewa mamlaka ya kuongoza nchi na vibaraka wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…