Zitto Kabwe: Diaspora hawatumi pesa nyumbani, kazi yao ni kukesha Clubhouse

Zitto ni mpumbavu tena karithi upumbavu kutoka kwa baba yake na mama yake labda amuwajui wazee wake walikuwa je😁😁😁😁
 
Kupiga siasa mitandaoni ni haki yao ya kikatiba na kibinadamu. Na inawezekana kabisa wako busy na maisha yao wanakwenda Clubhouse ku unwind kwa kuongea siasa za Bongo.

Ukiwa na watu 1,000 kila mtu anaongea dakika 5 mpaka 10 unaweza kuona hawa watu hawamalizi kuongea kumbe wanapokezana.

Watanzania kama Zitto hawajui haki za binadamu ni nini, na hapo ndiyo wamesoma chuo kikuu na kuwa viongozi wa siasa.

Wangekuwa hawajasoma na hawajaongoza siasa sijui ingekuwa vipi.
 
Yaani Magufuli aliyekuwa anapota pesa za watu ndio anatakiwa na diaspora gani? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Huyo huyo Mwendazake wako ndio alizuia hata pesa za NGOs Kwa visingizio rundo.

Alipora watu forex harafu unaropoka ? Kuwa serious wewe msukule wake.

Mwisho tuna watu wachache sana huko Nje ya Nchi ndio maana hela ni chache na Watanzania hawataki kuwenda kuishi Nje Ili kutafuta fursa huko
 
Pesa zenyewe ndio tuletewe watanzania sisi tinaoamini kuiba ndio kufanikiwa kwetu.Bora zisije kuibiwa.
 
Nimemuelewa na nimeelewa hoja

Na nimejibu one specific aspect ya hoja because niliyemjibu alitaka kuhamisha mada
 
Mapema mwaka huu 2024 nilishuhudia mteja mmoja benki "akigogora" kwa sauti sana na Teller kisha manager. Kisa alizuiliwa "ku-withdraw" fedha alizotumiwa akitakiwa aeleze anazipeleka wapi.
Bila shaka ni nmb hao,
 
Aisee hizi changamoto za Diaspora zi adresiwe wanufaishe watu wao bhana
 
Sema kiongozi siyo mwanasiasa.

Hawa karibu wote walio ktk madaraka ya siasa na serikali siyo viongozi.

Kuna tofauti kubwa zisizo mkabala kati ya Leader na Manager. Wote maowaita viongozi siyo viongozi ni ma manager
 
Pumbavu kabisa.

Mletewe pesa za nini?

Acheni uvivu. Acheni kuwa tegemezi.

Fanyeni kazi mtengeneze pesa zenu wenyewe.

Msipende na msiendekeze vitu vya kupewa.
 
Sema kiongozi siyo mwanasiasa.

Hawa karibu wote walio ktk madaraka ya siasa na serikali siyo viongozi.

Kuna tofauti kubwa zisizo mkabala kati ya Leader na Manager. Wote maowaita viongozi siyo viongozi ni ma manager
Zitto si kiongozi. Si kiongozi mzuri anyway.

Kiongozi hawagawi wananchi kwa umasikini na utajiri, walio nyumbani na diaspora.

Kiongozi hawaambii wananchi "nyie masikini tu".

Anawaonesha jinsi ya kutajirika.
 
Hakuna kutembea na mafurushi ya pesa ,tuma
Nihamishe hela kutoka Absa bank SA iingie Tanzania hao DRD unawajua au unawasikia mazee hayo magari tu tukileta ya biashara wanakufungia TIN namba mpaka utoe maelezo ya kutosha na rushwa..
 
sasa wanajadili nini huko clubhouse kuhusu Tanzania kama hawatambuliki?🀣

hiyo si ni kupoteza muda tu gentleman? πŸ’
Ccm imejaa mapumbavu kama viongoz wao πŸͺ› πŸͺ› πŸͺ› πŸͺ› πŸͺ›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…