Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Kwahiyo Waziri ndio alijenga barabara lakini barabara sio hisani ni takwa la wananchi (Lazima)
 
Huyo alikuwa zaidi ya ibilisi
 
Uongozi wa nchi sio kama kuendesha familia yako!!.
 
Hawa ndio wapinzani!

Zitto alitupwa nje ya mfumo ndio maana anaona Magu alimchukia!

Zitto ni mtu wa fursa, ndio maana hata Membe alipoenda kugombea urais kule baada ya kugoma kutoa hela Zitto alimdampo
 
Vipi mega projects kama SGR, JNHPP, HOSPITAL ZAHANATI na VITUO VYA AFYA, madaraja ya kisasa kama kijazi, tanzanite, busisi, wami, kule uhasibu.?
Hapo uwezi antMagufuri wakisema 😁😀😁😁 Magufuri awawezi kumfuta kilaisi hivyo kwa kulipa watu kama akina Zitto,kuja kumtukana,kaondoka ila kaacha kazi zinaonekana.
 
Mbona watumishi wa Umma walikua hawaongezei mishahara na kupanda madaraja,hivi Kwa miaka hiyo aliweza kutoa ajira mpya ngapi?!!..Tulinganishe na hii miezi 6 ya Mama?
 
Hivi si ndo huyu alimzushia MagufuliJP kafa. Sasa nani ana chuki. Tuache uzwazwa. By the way kupata taarifa upande mmoja kwanini asingesema akiwa hai. Nina uhakika MagufuliJP alikuwa hana chuki na mtu. Ila nyie mnatengeneza chuki zenu
 
Hawa ndio wapinzani!

Zitto alitupwa nje ya mfumo ndio maana anaona Magu alimchukia!

Zitto ni mtu wa fursa, ndio maana hata Membe alipoenda kugombea urais kule baada ya kugoma kutoa hela Zitto alimdampo
Zitto sijawahi kumuamini na kumsadiki, lakini mwendazake hakufaa kuwa kiongozi . Mbinafsi anayejipenda na chato yake. Mwenye visasi hata kwa wale aliogombea nao kawaida. Mkabila na asiyefuata katiba .

Ukishaona kiongozi anamuweka mtoto wa dada kuwa mlipaji mkuu , jitatafakari
 
NI
Ni Rais yupi kuanzia Nyerere mpaka Samia ambaye ameisha toa uwanja sawa kwa wapinzani Wake?
 
Kwani Magufuli kigoma Kajenga hizo Barabara?




Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…