Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Zitto ni mdini, mnafiki,Anapenda kula hela kwa unafiki wake na kama JK ndo alijenga barabara nyingi waziri wa ujenzi alikuwa nani? Huyo kikwete unayemsifia vipi mkoa wako masikini wa kutupwa kigoma kikwete alikujengea barabara! Stupid unajifanya kujua sana ndo maana hata CHADEMA walikufukuza huna maana!
Kwahiyo Waziri ndio alijenga barabara lakini barabara sio hisani ni takwa la wananchi (Lazima)
 
Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama Na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana.

Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo nilianza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza.

Zitto alifika mbali zaidi na kusema baada ya Lissu kupigwa risasi Dodoma mwaka 2017 ndipo alipoona kuwa Magufuli hana hekima hapendi kupingwa, hivyo Zitto akaongeza kumpinga hapo ndipo chuki ya Magufuli ilipozidi kwa Zitto.

Yaani hiki kipindi cha leo, Zitto kamsagia sana kunguni Mwendazake.

Huyo alikuwa zaidi ya ibilisi
 
Hata BWM alipokuwa kamaliza awamu zake, alisemwa na akaonekana hafai kabsaa ndani ya miezi 3 ya mwanzo ya awamu ya 4 lakin miaka 5 tu ya iyo awamu ya 4 Mwanamkwere akawa anahemea machine, BWM akaonekana alikuwa mwamba sanaaaa! Hata awamu hii ya 6 mtaikataa tu ndo hapo JPM ataonekana alikuwa mwamba kweli kweli! Wakati ukuta.
Uongozi wa nchi sio kama kuendesha familia yako!!.
 
Hawa ndio wapinzani!

Zitto alitupwa nje ya mfumo ndio maana anaona Magu alimchukia!

Zitto ni mtu wa fursa, ndio maana hata Membe alipoenda kugombea urais kule baada ya kugoma kutoa hela Zitto alimdampo
 
Vipi mega projects kama SGR, JNHPP, HOSPITAL ZAHANATI na VITUO VYA AFYA, madaraja ya kisasa kama kijazi, tanzanite, busisi, wami, kule uhasibu.?
Hapo uwezi antMagufuri wakisema 😁😀😁😁 Magufuri awawezi kumfuta kilaisi hivyo kwa kulipa watu kama akina Zitto,kuja kumtukana,kaondoka ila kaacha kazi zinaonekana.
 
Waongeee tu ila kuna siku watakaa na kukiri kua tangu tupate marais ukimtoa baba wa taifa ni Jembe Magufuli ..tinga tinga yule jamaa achana nae kabisa ameitengeneza tanzania kwa miaka sita ikapendeza kwa miladi kibao ww ulipo huko ni shahidi ila kwa kua binadam hatuna shukrani tumejaa hila na kuhesabu mabaya tu.Namuombea sana Mungu ampunguzie adhabu za kaburi
Mbona watumishi wa Umma walikua hawaongezei mishahara na kupanda madaraja,hivi Kwa miaka hiyo aliweza kutoa ajira mpya ngapi?!!..Tulinganishe na hii miezi 6 ya Mama?
 
Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama Na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana.

Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo nilianza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza.

Zitto alifika mbali zaidi na kusema baada ya Lissu kupigwa risasi Dodoma mwaka 2017 ndipo alipoona kuwa Magufuli hana hekima hapendi kupingwa, hivyo Zitto akaongeza kumpinga hapo ndipo chuki ya Magufuli ilipozidi kwa Zitto.

Yaani hiki kipindi cha leo, Zitto kamsagia sana kunguni Mwendazake.

Hivi si ndo huyu alimzushia MagufuliJP kafa. Sasa nani ana chuki. Tuache uzwazwa. By the way kupata taarifa upande mmoja kwanini asingesema akiwa hai. Nina uhakika MagufuliJP alikuwa hana chuki na mtu. Ila nyie mnatengeneza chuki zenu
 
Hawa ndio wapinzani!

Zitto alitupwa nje ya mfumo ndio maana anaona Magu alimchukia!

Zitto ni mtu wa fursa, ndio maana hata Membe alipoenda kugombea urais kule baada ya kugoma kutoa hela Zitto alimdampo
Zitto sijawahi kumuamini na kumsadiki, lakini mwendazake hakufaa kuwa kiongozi . Mbinafsi anayejipenda na chato yake. Mwenye visasi hata kwa wale aliogombea nao kawaida. Mkabila na asiyefuata katiba .

Ukishaona kiongozi anamuweka mtoto wa dada kuwa mlipaji mkuu , jitatafakari
 
NI
Je ambao hawakuwa wanafiki kama kina Lissu Mwendazake aliwapenda?

Pamoja na michezo ya kisiasa anayotumua Zitto kuendelea kuiishi siasa, bado alichosema ni kweli!

Mwendazake hakupenda kukisolewa, kushaurika, ama kutoa uwanja sawa wa wanasiasa kufanya siasa kwa usawa pasi kujali ni chama tawala au vingine. Alijiweka zaidi kama Mwenyekuti wa Chama na si Rais wa nchi kimatendo!

Tuache watu waseme wanayoyajua juu ya mwendazake maana wakati wa utawala wake HAKUTAKA KABISA watu waseme juu yake.

Kutesa kwa zamu, Leo ni zamu ya walionyimwa kusema miaka sita iliyopita sasa ni wakati wao. WAACHENI WASEME!
Ni Rais yupi kuanzia Nyerere mpaka Samia ambaye ameisha toa uwanja sawa kwa wapinzani Wake?
 
Zitto ni mdini, mnafiki,Anapenda kula hela kwa unafiki wake na kama JK ndo alijenga barabara nyingi waziri wa ujenzi alikuwa nani? Huyo kikwete unayemsifia vipi mkoa wako masikini wa kutupwa kigoma kikwete alikujengea barabara! Stupid unajifanya kujua sana ndo maana hata CHADEMA walikufukuza huna maana!
Kwani Magufuli kigoma Kajenga hizo Barabara?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom