econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Marehemu anawatesa watu, naona huwa wakishtuka usiku wanajua bado yu hai
Anamtesa Nani?. Yeye ndio anateswa na Roho alizoziua hukk aliko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marehemu anawatesa watu, naona huwa wakishtuka usiku wanajua bado yu hai
Zito ni mjinga sana ni kipi anachokifanya huyu bi tozo ambacho ni tofauti na magufuli .Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter
Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa J. Assad kama CAG.
View attachment 2436886
Aliyekufa ni mmoja lakini CCM inaendelea kubaki kileleni kwa Nguvu ile ile na utii ule ule kwa Amiri jeshi mkuu mpyaYani Magufuli alikuwa zero. Anaiba uchaguzi ili ajaze wabunge wamuongezee muda wa kukaa madarakani, halafu anakufa hapo hapo. Mjinga kweli.
Amefarijika nini mnafiki mkubwa huyu zitto kabwe. Walimpa kichwa huyo cag kwamba hawezi timuliwa wakati kazi yenyewe siyo kajipa mwenyewe.
I hope wanasheria wa serikali watakata rufaa.
Aliyekufa ni mmoja lakini CCM inaendelea kubaki kileleni kwa Nguvu ile ile na utii ule ule kwa Amiri jeshi mkuu mpya
Unamuongelea Mbatia malaya wa siasa?! Ongelea mtu mwingine achana na huyo LGBTMbatia si alienda! Kilichotokea si ulikiona?
Huna akili. Mamlaka ya uteuzi ndo nini?Acheni siasa maandazi,huwezi kupingana na mamlaka yako ya uteuzi.Never on Earth,Asad alipaswa ajiuzulu tena ashukuru akuwa assassinated!
Nilikuwa sifahamu kwamba kuna Vita Dhidi ya Marehemu....Muendelezo wa vita kwa marehemu ndio imefanikisha kuwezekana kutoka hayo maamuzi bila ya hivyo sidhani kama ingewekana, maamuzi hayo yasingetoka Magufuli angekuwa bado yupo madarakani ni kama sasa rais aliye madarakani atavunja katiba na hakuna kitakachofanyika na ndio maana nikasema kilichotokea ni unafki tu ila wenye chuki na marehemu kwao kitu chenye kuwafurahisha.
Kati ya watu wamekuwa wa hovyo katika nchi hii waliotokea kumainiwa ni Zitto.... Sasa hivi kawa Hopeless, Useless, Untrustworthy, dubious..... Rotten one.... Written off.... Hajawahi kuwa na uchungu na nchi hii.... Ni mchumia tumbo wakuaminika..... Hovyo kabisa takataka....
Hata wabunge wa Chadema akina Silinde wamefata fursa CCM, hapo Ufipa st Njaa kaliUtii gani?.CCM ni ile ile haina utii, Bali watu wanaangalia fursa.
Zitto ni mdini mtupu ndio maana kutimuliwa assad alivalia njugha na chuki kwa magufuli ilichangiwa na udini. Huko kigoma zipo tuhuma akiwa mbunge alijaa ubaguzi wa kidini.Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter
Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa J. Assad kama CAG.
View attachment 2436886
Acha kukurupuka mzee! Hoja kujiuzulu kwa Ndugai nani alipeleka kesi mahakan! Kwanini alishindwa?Unamuongelea Mbatia malaya wa siasa?! Ongelea mtu mwingine achana na huyo LGBT
Wewe ndio pimbi kuu!
Udini kiaje? Ni wazi magufuli hakufuata katiba kwenye issue ya Assad.
Sema na walamba asali ,lakini sio watanzania wazalendo.Magifuri mpaka afikishe miaka 60 kaburini nahisi atasemwa sana na watanzania
Wewe una akili gani kazi ushabiki maandazi.Narudia tena Asad alipaswa ajiuzulu kulinda heshima yake, Rais hawezi kuwa submissive kwa CAG na ashukuru awakumuua,walimuondoa kiungwana.Huna akili. Mamlaka ya uteuzi ndo nini?
Mahakama inapofanya maamuzi kwanza huangalia whether kuna objectivity kwenye madai. Pili huangalia kama mlalamikaji ana masilahi kwenye suala Hilo. Sijui Mbatia aliambiwaje kwenye madai yake. Maana Ndugai alijiuzulu, sasa Mbatia ni nani akaombe judicial review kwa suala ambalo hana masilahiAcha kukurupuka mzee! Hoja kujiuzulu kwa Ndugai nani alipeleka kesi mahakan! Kwanini alishindwa?
Unazidi kujionesha kwa kiasi gani huna akili. Eti kumuua? Wapi Rais amepewa mamlaka ya kumuua mtu chizi wewe??Wewe
Wewe una akili gani kazi ushabiki maandazi.Narudia tena Asad alipaswa ajiuzulu kulinda heshima yake, Rais hawezi kuwa submissive kwa CAG na ashukuru awakumuua,walimuondoa kiungwana.
Kwahiyo anarudishwa kuwa CAG au atatakiwa kulipiga Bakora Kaburi lake mpaka Hasira za Kutumbuliwa Kwake ziishe?Hatimae Mahakama Kuu imethibitisha bila shaka Rais Magufuli na mwenyekiti wa CCM alivunja Katiba ya nchi iliyomuweka madarakani na aliyoapa kuilinda na kuitetea lakini akaivunja kwa kumwondoa CAG kinyume na Katiba.
Najiuliza hivi hakuwa na washauri? Au washauri wake wana uwezo mdogo juu ya Katiba? Je, waliomshauri watachukuliwa hatua gani?
Kuna watu walihoji uwezo mdogo wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali lakini wakapuuza lakini leo yametimia. Akili kubwa imeshinda Magufuli alivunja Katiba ya nchi.
View attachment 2437046