Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

Wewe
Wewe una akili gani kazi ushabiki maandazi.Narudia tena Asad alipaswa ajiuzulu kulinda heshima yake, Rais hawezi kuwa submissive kwa CAG na ashukuru awakumuua,walimuondoa kiungwana.
Akili ndogo ndio wewe
 
Ma
Hatimae Mahakama Kuu imethibitisha bila shaka Rais Magufuli na mwenyekiti wa CCM alivunja Katiba ya nchi iliyomuweka madarakani na aliyoapa kuilinda na kuitetea lakini akaivunja kwa kumwondoa CAG kinyume na Katiba.

Najiuliza hivi hakuwa na washauri? Au washauri wake wana uwezo mdogo juu ya Katiba? Je, waliomshauri watachukuliwa hatua gani?

Kuna watu walihoji uwezo mdogo wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali lakini wakapuuza lakini leo yametimia. Akili kubwa imeshinda Magufuli alivunja Katiba ya nchi.

View attachment 2437046
Lissu alisema,Mahakama za kibongo haziaminiki.Kama Magufuri angekuwa bado Rais uamuzi Kama huu ungetolewa??Vifungu vinabadilika kutokana na hali ilivyo.Hakuna ukweli wowote.
 
Chifu,

HAIPO HIVYO... Kwanza hakuna cha "Rais ikimpendeza"! Pili, hapo ulipotaja katiba na sheria, ni kwamba ume-interchange,

Katiba inasema CAG atakaa ofisini kwa miaka 5 na ANASTAHILI mkataba wake kuwa renewed, lakini atatakiwa kuachia ofisi akifika miaka 60 AU umri MWINGINE utakaotajwa na sheria.

Sheria ya Ukaguzi wa Hesabu za Umma ya mwaka 2008 Kifungu cha 6(2) kimetaja umri mwingine ni miaka 65!

Kinachoweza kumfanya awe terminated kabla hajafika hiyo 65 ni endapo atafanya kosa miongoni mwa yale yaliyotajwa kwenye katiba, na hapo hadi aundiwe tume ya kijaji kuchuguza tuhuma dhidi yake!!

In short, CAG HATUMBULIKI... usipomtaka, na kama hana kosa kama yalivyotajwa kwenye katiba basi umlazimishe kujiuzuru!
Hapo kwenye kumlazimisha kujiuzuru ni sawa na samia alivyofanya kwa job ndugai ,zitto kama sio ni mdini,mnafiki na mfitini afungue na kesi ya samia na ndugai.
 
Mahakama inapofanya maamuzi kwanza huangalia whether kuna objectivity kwenye madai. Pili huangalia kama mlalamikaji ana masilahi kwenye suala Hilo. Sijui Mbatia aliambiwaje kwenye madai yake. Maana Ndugai alijiuzulu, sasa Mbatia ni nani akaombe judicial review kwa suala ambalo hana masilahi
Kwaiyo ili la Zitto, Zitto alikuwa na maslahi? Kwani Katiba si inataka Spika akijiuzulu Barua awasilishe Bungeni? Barua alipeleka wapi? Si ikikoandikiwa ikakopiwa sign yake!
FIf0KhXWYAIgmvR.jpg
 
MAHAKAMA KUU YA TANZANIA - RAIS AMEVUNJA KATIBA

TAMATI YA NUKUU YA HUKUMU KUHUSU CAG ALIYE OFISINI SASA NA ALIYENGOLEWA. RAIS ALIVUNJA KATIBA.

IN THE COURT OF THE UNITED REPUBLIC (MAIN REGISTRY) AT DAR ES SALAAM (CORAM: MASOUD, KAKOLAKI, And MASABO, JJJ.)

MISCELLANEOUS CIVIL CAUSE NO. 8 OF 2022 IN THE MATTER OF THE CONSTITUTION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA OF 1977 AS AMENDEDAND IN THE MATTER OF THE PUBLIC AUDIT ACT No. 11 OF 2018 AND IN THE MATTER OF BASIC RIGHTS AND DUTIES ENFORCEMENT ACT, CAP. 3R.E 2002 AND IN THE MATTER OF A PETITION TO CHALLENGE THE PROVISIONS OF SECTION6(1) OF THE PUBLIC AUDIT ACT No. 11 of 2018 AS BEING UNCONSTITUTIONAL AND IN THE MATTER OF A PETITION TO CHALLENGE THE ACT OF THE 1st RESPONDENT TO REMOVE THE 4th RESPONDENT FROM THE POSITION OF THE CONTROLLER AND AUDITOR GENERAL AND REPLACE HIM WITH THE 3rd RESPONDENT EVEN THOUGH THE 4th RESPONDENT HAD NEITHER REACHED 60YEARS OF AGE NOR 65 YEARS OF AGE AS BEING UNCONSTITUTIONAL BETWEEN

ZITTO ZUBERI KABWE.....................................PETITIONER
VERSUS

THE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA..................... 1st RESPONDENT

THE HON. ATTORNEY GENERAL ......... 2nd RESPONDENT

CHARLES KICHERE ........... 3rd RESPONDENT

PROF. MUSSA JUMA ASSAD .......4th RESPONDENT

.... We were not told a legitimate purpose that the provision and the removal of the fourth respondent from the office save.

We were similarly not told how article 30(2) would save the impugned provision and the removal of the fourth respondent from the office which are violative of article 144(1) of the Constitution. We nonetheless do not see any lawful object which was intended to be achieved by the provision, other than introducing a criterion of ensuring removal of the CAG from the office on expiry of the fixed term of five years contrary to the provision of article 144 and the security of tenure of the CAG guaranteed under the Constitution.

In the light of what we have discussed with regard to the saving provision of article 30(2) of the Constitution, we are satisfied and we so hold that neither section 6(1) of the Public Audit Act nor the act of the removal of the fourth respondent from the office is saved by and falls within the purview of article 30(2) of the Constitution.

When all is said and done, we considered the reliefs sought by the petitioner in the light of the foregoing findings and conclusions.

Since we have found section 6(1) of the Public Audit Act and the removal of the fourth respondent from the office by the first respondent to be unconstitutional for violating article 144 (1) of the Constitution, we are inclined to make appropriate declarations to that effect.

As to the appointment of the third respondent into the office, we are satisfied that we cannot in the circumstances hold that the appointment was unconstitutional for reasons very well stated herein above, which would also cater for our resolve to decline to hold that the fourth respondent is the substantive holder of the office of the CAG.

In the upshot of the foregoing reasons and findings, the petition fails in the issue of the appointment of the third respondent in which case we decline to hold the appointment of the third respondent is unconstitutional, and we in the same way decline to hold that the fourth respondent is a substantive holder of the office of the CAG.

It also fails in other issues implied from the reliefs which we did not expressly mention here.

However, the petition is allowed in respect of unconstitutionality of the provision of section 6(1) of the Public Audit Act and the unconstitutionality of the removal of the fourth respondent from the office of the CAG pursuant to section 6(1) of the Public Audit Act before attaining the age of sixty five years.

We so hold because the provision of section 6(1) and the removal of the fourth respondent from the office are all violative of article 144 (1)of the Constitution.

Consequently, the provision of section 6(1) of the Public Audit Act, No. 11 of 2008 is in terms of article 64(5) of the Constitution herein declared null and void and is hereby struck out forthwith from the Public Audit Act, No. 11 of 2008.

We make no order as to costs as the petition was conducted as a public interest litigation.It is so ordered.DATED and DELIVERED at Dar es Salaam this 5th day of December, 2022

Signed : B.S Masoud
Judge

Signed : J.L Masabo
Judge

Signed : E.E Kakolaki
Judge

Source : Zitto Zuberi Kabwe vs the President of the United Republic of Tanzania & Others (Misc. Cause 8 of 2022) [2022] TZHC 14947 (05 December 2022); | Tanzlii
 
Hapo kwenye kumlazimisha kujiuzuru ni sawa na samia alivyofanya kwa job ndugai ,zitto kama sio ni mdini,mnafiki na mfitini afungue na kesi ya samia na ndugai.
Something tells me wewe ndo umejaa UDINI?! Hivi akina Mbowe, Lissu na wengine waliokuwa wanampinga Magu na wenyewe ni dini ipi?

Kwanini akifanya asiye wa dini ya Magu ndo aonekane mdini wakati alikuwa anapingwa na watu mbalimbali?

Halafu mbona mnapenda sana kuhusisha issue ya Ndugai wakati ni tofauti!

Ndugai ni Speaker wa Bunge! Kama hujawahi kusikiliza bunge, tafuta hotuba YOYOTE ile ya Bunge la Bajeti.

Humo utakuta page ambayo inataja bajeti ya mapato. Miongoni mwa mapato ya yanayoorodheshwa ni MIKOPO!

Mwisho wa siku, Speaker wa Bunge atasimama kuwauliza Wabunge ikiwa wanaunga mkono bajeti ya serikali ambayo ndani yake serikali inawaomba Wabunge waridhie kuchukua mikopo!

Kama ujuavyo ushabiki wa bungeni, Wabunge watajibu NDIYOOOOOOOO.... hapo hapo utakua Ndugai anawakejeli wapinzani!!

Sasa Serikali imeliomba bunge ruhusa ya kukopa

Bunge limeridhia kwamba KOPENI TU

Speaker ambae alikuwa sehemu ya maamuzi anatoka nje na kuponda mikopo ambayo taasisi anayoongoza imeridhia....

Kwako wewe unaona inafanana na issue ya Assad hiyo?!

Hata Mrema alitimuliwa kazi na Ally Hasaani Mwinyi kwa sababu tu aliongea hadharani kinyume na kilichoafikiwa na Baraza la Mawaziri!
 
Ilaumu mahakama sio Zitto. Zitto alifungua kesi tu, mahakama ikatoa maamuzi dhidi ya Magufuli.
Huyo punda hata sijamlaumu.... Ila haimuondolei kuwa ni punda mchumia tumbo..... [emoji1787]
 
Something tells me wewe ndo umejaa UDINI?! Hivi akina Mbowe, Lissu na wengine waliokuwa wanampinga Magu na wenyewe ni dini ipi?

Kwanini akifanya asiye wa dini ya Magu ndo aonekane mdini wakati alikuwa anapingwa na watu mbalimbali?

Halafu mbona mnapenda sana kuhusisha issue ya Ndugai wakati ni tofauti!

Ndugai ni Speaker wa Bunge! Kama hujawahi kusikiliza bunge, tafuta hotuba YOYOTE ile ya Bunge la Bajeti.

Humo utakuta page ambayo inataja bajeti ya mapato. Miongoni mwa mapato ya yanayoorodheshwa ni MIKOPO!

Mwisho wa siku, Speaker wa Bunge atasimama kuwauliza Wabunge ikiwa wanaunga mkono bajeti ya serikali ambayo ndani yake serikali inawaomba Wabunge waridhie kuchukua mikopo!

Kama ujuavyo ushabiki wa bungeni, Wabunge watajibu NDIYOOOOOOOO.... hapo hapo utakua Ndugai anawakejeli wapinzani!!

Sasa Serikali imeliomba bunge ruhusa ya kukopa

Bunge limeridhia kwamba KOPENI TU

Speaker ambae alikuwa sehemu ya maamuzi anatoka nje na kuponda mikopo ambayo taasisi anayoongoza imeridhia....

Kwako wewe unaona inafanana na issue ya Assad hiyo?!

Hata Mrema alitimuliwa kazi na Ally Hasaani Mwinyi kwa sababu tu aliongea hadharani kinyume na kilichoafikiwa na Baraza la Mawaziri!
Kwaiyo unataka kusema freedom of speech ndo iliyomponza ndugai!??
 
Kwa hizo Akili za kwenda kuambiwa na "I do you"

Au kwa Vision ipi hasa ambayo wapinzani wa nchi hii waliyonayo?

Kwenda kukaa na wazungu halafu wawafundishe jinsi ya kuleta mifarakano kwenye nchi zenu kwa faida zao?

Kazi kubwa ya kituonyesha mfano kwa upinzani wa kitanzania ni kununulika kwa Shekeli tu.

Kuanzia Mr Chairman mpaka kina Zitto!

Kuanzia yule aliyemuuzia chama Lowassa mpaka yule aliyemuuzia Chama Membe!

Hadi hawa Wa- bonge wanaobongewa na kulainika asubuhi.

Kifo cha CCM au Anguko la CCM litatokana na wana CCM wenyewe!
Wote hao walianzia CCM.
 
Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter

Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa J. Assad kama CAG.

View attachment 2436886
Nimefurahi sana.
Ila mahakama hyo hyo 2020 isingethubutu kusema shetani alikosea kumuondoa ila sasahivi mahakama hyo imekua huru kwa kuwa shetani hayupo
 
Sioni impact ya kesi hii kipindi hiki. Kama Mahakama baada ya kesi hii ingemrejesha Ptof. Assad kwenye nafasi yake ningeona umuhimu wa matokeo ya mashauri kama haya maana ni mengi.
Impact ipo sana tu.
 
Zitto na genge lake Udini unawasumbua sana. Acheni siasa za kupambana na Ukristo pimbi nyie

Mmteule, hivi Waislamu hawastahili kuwa viongozi na kupewa haki zao; kwa kiwa tu ni Waislamu. Inaonekana wewe ndiyo mdini na una akili fupi sana. Kwa akili hizi, hugai kuwa kiongozi kwani ungesababisha vurugu nyingi zisizokuwa na sababu.
 
Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter

Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa J. Assad kama CAG.

View attachment 2436886
Walamba asali kama huyu Zitto ni wa kupuuzwa. Hangaya aliwahi kusema, "yeye na Magufuli ni kitu kimoja". So kama serikali waliyokuwa wanaongoza ilivunja katiba huyu bibi hawezi kwepa kuwajibika. Infact serikali hii ya CCM kuvunja katiba kwao ni kawaida ndio maana tunataka katiba mpya isiyoweza kuchezewa.
 
Back
Top Bottom