USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Namuona Zito hapa na vazi lake jeupe tayari kwenda kuzikwa na Maembe. Kipara nae hatulii kila saa kugeuka nyuma tu kwa kina Lukuvi anafosi tabasamu na kucheka kwingi, hivi hajui kama the next ni dingi yake?
Ni kweli,maana yule wa Chato mwenye kichwa chenye kona kona kama korosho yeye amesimama.
Msipo wasamehe watu makosayao hata baba yenu wambinguni hata wasamehe.Mungu wa huruma amjalie pumziko jema Bernard Membe.
'Yeye aniaminiye ajapo kufa anaishi milele'.
Yule kasimama mioyoni mwa watanzania tulio wengi.Ni kweli,maana yule wa Chato mwenye kichwa chenye kona kona kama korosho yeye amesimama.
Akapigwa kamba yeye mwenyeweDakika ya 85
wewe ndiyo malaika mtoa roho (Izrail)?Namuona Zito hapa na vazi lake jeupe tayari kwenda kuzikwa na Maembe. Kipara nae hatulii kila saa kugeuka nyuma tu kwa kina Lukuvi anafosi tabasamu na kucheka kwingi, hivi hajui kama the next ni dingi yake?
Watu hata hawamujuiYule kasimama mioyoni mwa watanzania tulio wengi.
Ila Membe huku mtaani hakuna hata mwenye huzuni nae kabisa.
Hapana, kikwete ndiyo hatohudhuria kwa sababu "Maalumu"Kuna tetesi wasaidizi wake walimtaka asihudhurie kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi na yeye ameng'ang'ania.
Huenda leo akaja na barakoa.
Uko sahihi. Na ndo maana nilimwambia mtu huko juu; maumivu mliyoyapata kwa kupigwa mwereka kwa Jiwe haviwezi kupozwa na kifo cha Membe. Hawa watu hawakuwa na hadhi sawa, na maumivu ya vifo vyao hayawezi kuwa sawa. Joe mshale wa 17 March, 2021 ulikuwa mkali haswaa!Yule kasimama mioyoni mwa watanzania tulio wengi.
Ila Membe huku mtaani hakuna hata mwenye huzuni nae kabisa.
Goma limerudi upyaaaaView attachment 2621261View attachment 2621262Kwa kweli COVID ishukuriwe kwa kutuondoshea mbali lile dubwasha la Chato. Huyu Membe hata angeendelea kuishi au kutoishi hakuwa na impact za moja kwa moja kwenye maisha ya Watanzania, ila lile dubwasha lingeendelea kuifanya Tanzania a ghost state. Asante COVID 🙏.
Hii ni roho ya kishirikina, marehemu hadhihakiwi hata siku moja.Pole Rais Samia
Alaumiwe mzee makamba kwa kutomujumuisha Membe kwenye ile list ya watu wema wasiokufa Tanzania