Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

Namuona Zito hapa na vazi lake jeupe tayari kwenda kuzikwa na Maembe. Kipara nae hatulii kila saa kugeuka nyuma tu kwa kina Lukuvi anafosi tabasamu na kucheka kwingi, hivi hajui kama the next ni dingi yake?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Goma limerudi upyaaaa
IMG-20211205-WA0000.jpg
IMG-20230514-WA0001.jpg
 
Yule kasimama mioyoni mwa watanzania tulio wengi.
Ila Membe huku mtaani hakuna hata mwenye huzuni nae kabisa.
Uko sahihi. Na ndo maana nilimwambia mtu huko juu; maumivu mliyoyapata kwa kupigwa mwereka kwa Jiwe haviwezi kupozwa na kifo cha Membe. Hawa watu hawakuwa na hadhi sawa, na maumivu ya vifo vyao hayawezi kuwa sawa. Joe mshale wa 17 March, 2021 ulikuwa mkali haswaa!
 
Acheni kukuza Mambo Barakoa za nini WHO wameshatangaza rasmi The end pandemic Covid 19. Ninyi mnashadadia kitu gani kipya Acheni watu waende msibani
 
Back
Top Bottom