Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

CCM hatataki kusikia

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimeshangazwa na kilichotokea ,CCM wanajitoa ufahamu na wanapingana na ukweli ,kugombea Urais ni kipengele muhimu ,huwezi kusema aliwahi kuwa kwenye mchakato wa kutafuta ticket ya kugombea Urais ndani ya CCM na kuwa kwenye tano bora alafu unasahau kuwa aligombea Urais kupitia chama kingine.
 
Yule kasimama mioyoni mwa watanzania tulio wengi.
Ila Membe huku mtaani hakuna hata mwenye huzuni nae kabisa.

Sasa unamlinganisha hayati El Comandante JPM na BCM?!!! hawafanani mkuu....mmoja amekufa akiwa Rais tena madarakani na mmoja na mzalendo wa nchi aliyeifanyia makubwa nchi kitaifa na kimataifa kama mwanadiplomasia......

Rest easy El Commandante BCM amen[emoji120]

Wanaomjua wanamlilia.....wewe usimlilie mkuu wangu.....
 
Zitto Kabwe amewaponda wote walioshabikia upuuzi aliofanyiwa Membe wakati Ule huku wengine wakimchafua kwa magazeti yaliyochapishwa na Mitambo " Vyombo"

Zitto anesema ana Imani wale wote waliomchafua Membe na kumtendea Uovu watajuta na wataenda kuomba radhi kaburini kwake

Source: ITV
Atangulie yeye chato
 
Kwenye kutoa salaam za pole kwa msiba wa Bernard Membe, Rais wa JMT amewataja Millenium Group.

Je hawa ni akina nani?
Wanasimamia maslahi yepi?

Mungu ampumzishe Membe
Mungu ampumzishe Le Mutuz
 
Ila Zitto leo! Sijui nini kimemkuta kuongea yale mbele ya viongozi wa kitaifa.
Huyo ni narcissist,yeye kila event atahakikisha anaigeuza inakuwa it's all about him.Sasa hivi utakuta hana habari na kinachoendelea kwenye tukio,yupo anaranda randa mitandaoni kuona watu wame react vipi kwa speech yake.
 
Back
Top Bottom