USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Pumbavu unapenda kuomba link hovyo hovyoIko wapi? Lete Link
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbavu unapenda kuomba link hovyo hovyoIko wapi? Lete Link
Mkuu nimeshangazwa na kilichotokea ,CCM wanajitoa ufahamu na wanapingana na ukweli ,kugombea Urais ni kipengele muhimu ,huwezi kusema aliwahi kuwa kwenye mchakato wa kutafuta ticket ya kugombea Urais ndani ya CCM na kuwa kwenye tano bora alafu unasahau kuwa aligombea Urais kupitia chama kingine.
Kumdhihaki mfu ni dhambi....endeleza siasa za kihayawani mkuu....
We tulia hivyo hivyo Bahari imeshachafukaKupiga nini mkuu wangu?
Binafsi sijamsikia akimtaja JPM. Uache nongwa.Ameongea upuuzi mtupu! Ameingiza siasa kwenye shughuli ya msiba. Huyu bila kumzungumzia JPM nadhani siki yake haiendi vizuri, Kila speech analazimisha kumchomekea, Alaaniwe.
Yule kasimama mioyoni mwa watanzania tulio wengi.
Ila Membe huku mtaani hakuna hata mwenye huzuni nae kabisa.
Atangulie yeye chatoZitto Kabwe amewaponda wote walioshabikia upuuzi aliofanyiwa Membe wakati Ule huku wengine wakimchafua kwa magazeti yaliyochapishwa na Mitambo " Vyombo"
Zitto anesema ana Imani wale wote waliomchafua Membe na kumtendea Uovu watajuta na wataenda kuomba radhi kaburini kwake
Source: ITV
[emoji2956]wewe ndiyo malaika mtoa roho (Izrail)?
Acha dhihaka na dharau kwa mh.Rais Chifu Hangaya....Watu hata hawamujui
Na Samia kaenda Kwa sababu ya Kikwete tu
[emoji120]Njia ni yetu sote, na kwake tuuarejea. Hakuna mjanja mbele ya kifo.
Huyo ni narcissist,yeye kila event atahakikisha anaigeuza inakuwa it's all about him.Sasa hivi utakuta hana habari na kinachoendelea kwenye tukio,yupo anaranda randa mitandaoni kuona watu wame react vipi kwa speech yake.Ila Zitto leo! Sijui nini kimemkuta kuongea yale mbele ya viongozi wa kitaifa.
[emoji106]Binafsi sijamsikia akimtaja JPM. Uache nongwa.