Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Umoja wa Wanawake wa Viongozi Mashukhuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu samahani kaka...bahari imechafukaje komredi?We tulia hivyo hivyo Bahari imeshachafuka
Weka ushahidi wa video ili tuamini hiki ulichosema hapa.Mnaofatilia msiba wa Membe nafikiri mnamsikiliza sasa Zitto akimuelezea marehemu Membe.
Zitto badala ya kumuongelea Membe anaushambulia utawala wa Magufuli mpaka kumuita JPM mpuuzi.
Na kwanini wenzake wamepewa dakika mbili ila Zitto kapewa dakika zaidi. Zitto anachafua hali ya hewa...
Mkuu vipi kwema lakini?!!Sifa za kijinga sana,kwa taarifa yako hasimami tena,hasimami tena!
Ooooohh.Namuona Zito hapa na vazi lake jeupe tayari kwenda kuzikwa na Maembe. Kipara nae hatulii kila saa kugeuka nyuma tu kwa kina Lukuvi anafosi tabasamu na kucheka kwingi, hivi hajui kama the next ni dingi yake?
Hakika.Professor Ole Gabriel speaks so gently.
Lolote limhusulo Muumba wetu, hakuna wa kumpangia maana hekima ya Mungu si hekima ya mwanadamu.Najua tuko kwenye huzuni, ila maneno yako, hata yangejaa pipa, hayawezi kubadili chochote kwa sasa. Too late!
Hauhudhurii na ni rafiki yake kipenzii km sio kindaki ndaki?? Afanye kuhudhuria bhanaaHapana, kikwete ndiyo hatohudhuria kwa sababu "Maalumu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu atutolee kelele zake hapa, km anampenda sana marehemu akafukiwe nae.Zitto Kabwe amewaponda wote walioshabikia upuuzi aliofanyiwa Membe wakati Ule huku wengine wakimchafua kwa magazeti yaliyochapishwa na Mitambo " Vyombo"
Zitto anesema ana Imani wale wote waliomchafua Membe na kumtendea Uovu watajuta na wataenda kuomba radhi kaburini kwake
Source: ITV
Hayo tunamwachia yeye na Mungu wake. Wanadamu hatujapewa mamlaka ya kuhukumu bali tumepewa utashi wa kumwambia mwanadamu mwenzetu yale yaliyo mema.Unafanyia reference biblia wakati mwenzake alipokufa alimcheka?
Pole sana. Pole sana. Pole sana. Nimerudia mara tatu, mkuu.Kamarada Tegga tunaomba kwa imani....
Hata mimi nikifa ,ndugu zangu wataomba kwa IMANI Ila wewe usiniombee....
Hata wewe ukifa ,ndugu zako wataomba kwa IMANI nami nitakuombea.....
Si amevurugwaaa, kufiwa mchezoooIla Zitto leo! Sijui nini kimemkuta kuongea yale mbele ya viongozi wa kitaifa.