Kama hawana sifa basi wateuliwe tu kwa sababu ya vitisho vyako Zitt? Hii ni kweli au unaota? Mgombea kama hana sifa kulingana na Katiba na sheria husika ATAPIGWA CHINI TU! Haitajalisha ni NANI!? Ni vizuri mmwape taarifa hizo hao wafadhili wenu. Hatishwi mtu hapa! Tunakwenda kwa sheria, kanuni na taratibu.Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.
NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
Nakumbuka kauli kama hizi zimeishwahi kutolewa sana. Sijui hawana kumbukumbu hawa watoaji wa kauli hizi?Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.
NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
Karibuni mtaan bro, tunawasubl kwa ham maana hatujapasha live mda mrefu...Ni hivi akikatwa hata mbunge au diwani mmoja tunaingia barabarani mpaka arudishwe huu ujinga hakuna watu tumechoka na upumbavu na tutaanzia kuchoma ofisi za nec then ni kumfurusha Dicteta Ikulu.
Hilo halipo labda kama tayari tutakuwa tumegeukia upande wa pili tofauti na kutegemea box la kura, ila kama ni box la kura hilohilo atatangazwa yule yule aliyezoelekaKaijage kawa chairman wa NEC katika kipindi kigumu, atakuwa chairman wa kwanza kumtangaza mpizani kuwa rais.
Ni kweli itaandikwa historia mpya ya kushindwa kwa AIBU kwa vyama vya upinzani baada ya kujipa matumaini makubwa yasyokuwepo na HATIMAYE KUDAIWA NA WAFADHILI PESA ZA RUZUKU WALIZOWAPA BAADA YA KUWADANGANYA KUWA WATASHINDA. sIJUI HILO DENI WATALILIPA VIPI!? Tusubiri tuone, labda watalilipa kwa vyuma vya Liganga au vile vya Mchuchuma!Huu mwaka historia itaandikwa nchi hii
Wanaoweza hayo mambo wazenji tu ambao nao wametulizwa kwa sasa huku bara wamejaa keyboard warriors tuNi hivi akikatwa hata mbunge au diwani mmoja tunaingia barabarani mpaka arudishwe huu ujinga hakuna watu tumechoka na upumbavu na tutaanzia kuchoma ofisi za nec then ni kumfurusha Dicteta Ikulu.
Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.
NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
Ni vizuri lakini nasisi upande wa upinzani twende kwa wananchi tukiwa tumejiandaa na sera nzuri tusije tukapewa surprise kwenye uchaguzi. Tusiishie kulalamikia uongozi uliopo bali nasisi tuseme "mkitupa nchi tutafanya a,b,c......n.k."Kaijage kawa chairman wa NEC katika kipindi kigumu, atakuwa chairman wa kwanza kumtangaza mpizani kuwa rais.
Shaka na hofu ondoa, wanajua wapinzani Wana hoja na sera mbadala, ndo maana walikataza bunge live na mikutano ya siasaaNi vizuri lakini nasisi upande wa upinzani twende kwa wananchi tukiwa tumejiandaa na sera nzuri tusije tukapewa surprise kwenye uchaguzi. Tusiishie kulalamikia uongozi uliopo bali nasisi tuseme mkitupa nchi tutafanya a,b,c......n.k.
Maneno matupu.NEC wakithubutu kufanya huo ujinga, walahi watakuja kujutia nakwambia.
Unajua CCM kuna mambo wanayachukulia poa, lakini nawahurumia sana.
Muda ni mwalimu mzuri sana
Wacha weee!!!Ni hivi akikatwa hata mbunge au diwani mmoja tunaingia barabarani mpaka arudishwe huu ujinga hakuna watu tumechoka na upumbavu na tutaanzia kuchoma ofisi za nec then ni kumfurusha Dicteta Ikulu.
Mkuu inaweza kuwa unaongea kimasihara hiyo para ya mwisho lakini hii mbinu iliwahi kutumika huko Colombia yaani polisi ukifanya upuuzi unakuta maiti ya mwanao inabembea getini.Hizi ndio lugha zinatakiwa kwa sasa. Sio ofisi tuu, DED au yeyote kwenye tume akijulikana kashiriki uchafu basi awe anajua kuwa familia yake au yeye binafsi kaweka reheni maisha.
Akikuta mke na watoto wamevimba matako kwa bakora ndio ataujua uchungu.
Paskal mayala bado hujaacha kujipendekeza kwa magufuli? Uteuzi hupati hata ufanye nini? Hii mifano yako ya kibwege inazidi kudhihirisha ilivyokuwa mjinga wa kutupwaHuu pia ni uchozezi!
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.
Hii sio mara ya kwanza kwa Zitto Kabwe kufanya uchochezi.
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa Uchochezi, Adai Rais Magufuli ni...
P
CCM na Paskal mayala wanalazimisha kuipenda CCM kwa nguvuIkiwa vyama vimesimamisha wagombea na ipo imani kuwa wagombea wa upinzani ni bure, hawakubaliki nini hasa maana ya haya yote kama sio kutafuta matatizo?
Waacheni watanzania wachague kinacho wastahili.