Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

Ana furaha ya Taifa Stars kufuzu.
Wanasema usifurahi ukatoa yako ya moyoni wala usikasirike ukatoa yako ya moyoni. Angetaja Taifa Stars tu isinge leta tatizo, tatizo limeletwa kwa kutajwa KKKT. Ina maana (kutokana na alicho kiandika) waumini wa Kiislam, Lutheran Hindu nk wanaligawa taifa. Tukubaliane ameteleza asingeingiza mambo ya dini kwenye kwenye mambo ya mihemko ya mpira. Grow up Zito.
 
Aliyo yasema ni ya kweli kabisa....na watu wengi wasiofungamana na upande wowote wanatambua hilo, shida pekee hapo huo ukweli umekaa kichochezi na unabomoa zaidi kuliko kujenga.
Amesema ukweli gani?

Mkataba wa bandari ni mbovu, kila swali wakiulizwa kuhusu ule mkataba wanakuja na majibu ya kubahatisha kila siku, akitokea mmoja akawaambia ukweli kwamba ule mkataba mnaoshindwa kuutetea ni mbovu huyo hawezi kuwa analigawa taifa, taifa pekee litakalogawika kwa mtu au taasisi kusema ukweli ni taifa la wajinga, na hilo sio Tanganyika.

Na taifa pekee litakalounganishwa na kauli ya kinafiki kama ya Zitto, inayokumbatia uovu na kuufumbia macho ukweli, again ni taifa la wajinga pekee, ila sio Tanganyika.
 
Zitto ni mjinga sn, CHADEMA hawakukosea kumfukuza
 
Hakuna tofauti, labda kama una maanisha TEC
 
Huyu ni dalali
 
Ukumbusho mzuri huu.
 
Zito huwa anaumwa ugonjwa wa akili yaani ni mgojwa wa afya ya akili. Ni kama Mnyika tu alivyo au Tundu lisu. Hawa watu sijui walilaaniwa enzi za Dkt Kikwete na Dkt Magufuli. Hivyo msishangae jamani anahitaji msaada wa madakitari pale mirembe
Kwamba kati ya mnyika na hawa wa ccm deo sanga, kibajaji, babu tale nani mwenye uelewa zaidi
 
Ss tulishasema huyo sio kiongozi ww unamwita kiongozi wa nani.huyo dogo hanaga AKILI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…