The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Huyo mamluki tu. Hapo anawatongoza G55 wajiunge ACTZitto anajua siasa atachukua nchi 2030.
Wanataka kufanya siasa au wanataka vyeo? Jamaa huyu sijui aliwezaje kuwateka CUF wakaingia kwenye hamsini zake. Hawa watu kiu yao kubwa ni vyeo."Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.
Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."
Zitto KabweView attachment 3306274
Haya wale Njaa 55 na Covid 19 mwaliko rasmi huu nendeni"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.
Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."
Zitto KabweView attachment 3306274
Eti eeh anaetoka kobasi aingie kobasiZitto anajua siasa atachukua nchi 2030.
Na wale Covid 19Huyo mamluki tu. Hapo anawatongoza G55 wajiunge ACT
Mcongomani hawezi kuwa Rais wa nchi hii.Zitto anajua siasa atachukua nchi 2030.
"....tutaleta mageuzi tukiwa mchezoni"
ngoja ninyamaze mie!"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.
Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."
Zitto KabweView attachment 3306274
Vichwa vyenye akili Chadema kama enzi za Lissu, Mwigamba, Dk. Mashinji, Patribas Katambi, Silinde zimeisha. Sasa hivi Chadema imebaki na Mdude Chadema na Lema! Ahahahahaha!!!"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.
Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."
Zitto KabweView attachment 3306274
2030 zamu ya keikeikeitiii 😂Zitto anajua siasa atachukua nchi 2030.
Maandalizi ya kupokea covid+19 na masalia ya njaa 55.. Zitto ni pandikizi la kitambo"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.
Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."
Zitto KabweView attachment 3306274
Kwa tume ipi? Zitto ni msaliti"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.
Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."
Zitto KabweView attachment 3306274
Udini tu ndio ulitumika kushawishi kina Maalim ila Zitto haaminiki. Hivi amesahau serikali za mitaa walienguliwa karibu wagombea wote wa ACT!! ngoja ashiriki asije lia lia tu oktoba hiyoWanataka kufanya siasa au wanataka vyeo? Jamaa huyu sijui aliwezaje kuwateka CUF wakaingia kwenye hamsini zake. Hawa watu kiu yao kubwa ni vyeo.
2020 walikua hawakubaliki? Mbona walipewa majimbo yasiyozidi 5 pemba nzima yenye majimbo 18? Vipi serikali za mitaa mbona walipewa mitaa/vijiji vingapi huko Pemba? Issue sio kukubalika issue ni kutangazwa. Chadema ikisimamisha mgombea jimbo moja tu la Ubungo anaweza kupata kura nyingi kuliko majimbo yote ya ACT bara na visiwani!! That alone tells you a lotWatapata wabunge kutokana kukubalika kwao Pemba na sehemu za Unguja.