Sir curiosity
Senior Member
- Oct 2, 2021
- 153
- 118
Na haya makosa tumeyaona vizuri katika kesi ya ugaidi wa kuchongwa ndiyo tabia za uongo uongo zinazidi kushamiri katika nchi takatifuKuna wakati, zitto kabwe anajichanganya ..sana hakuna kitu kinaumihimu mkubwa kama ku- present figure, kwenye public speech, ya kitaifa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unategemea la maana kutoka kwa huyu KADA?Hii nchi ngumu sana, mtu anakataza watu kujadili kitu ambacho yeye mwenyewe anakijadili.
Hadi anaandika haya si inamaana na yeye yumo kwenye hao anaowaita wamekosa kazi?
By the way who is Zitto aamulie watu nini cha kujadili na kipi sio cha kujadili?
Hiyo B au M ,inaonyesha jinsi taasisi ya Uraisi ilivyopwaya!!hotuba ya Raisi haisndikwi na mtu mmoja,na ikisha andikwa,Raisi lazima aipitie yote,au wasaidizi wake waipitie,sasa Hata kama kwenye M wsliweka B,inaamaana Hata Raisi hajuhi uhalisia wa akiba ya pesa za kigeni?yaani anachoambiwa anaenda nscho hewani kama kilivyo,hata akiambiwa sasa hv makao makuu ya Serikali ni singida na mji wa serikali wa mtumba upo kigoma kesho aende kuuzindua,yeye atasema kama aliyoambiwa.
πUnajadili M au B wakati jibu lipo wazi acha upuuzi
Mzee wakati wako huu
Unachangia kiasi gani cha foreign exchange mpaka utake kuonyeshwa? Pesa zako zote za madafu, pengine hata kodi hulipi, au unalipa kwa kulazimishwa, halafu unataka uonyeshwe forex, ili iweje?Sawa. Tufanye hatujadili hizo "me" wala "be"! Siku tukidai mtuoneshe hizo fedha kiuhalisia msianze kuita polisi wakamate watu.Kama tarakimu, mln au bln ilikosewa, isahihishwe. Kufunika kombe mwanakharamu abatizwe haisaidii kitu.
Wewe, kidole cha nini? siyo mr #dishlimetilt huyo!π
Utamsikia siku ikitokea kuwa Rais wa JMT ni James Makanyagio kutoka CCM.Naona amekuwa msemaji wa CCM
Huyo zzzt ni CCM Maslai
The problem is uelewa wa watu walio karibu na Rais.
Kwa mtu yeyote anayejua basics tu za public finance wala si issue ya kuhangaila nayo... its purely an oversight. Sidhani kama kwa kizazi hiki wala kijacho tutawahi kuwa na akiba ya $625 billion. Tusiendelee kupoteza muda kujadili hili
Ni mdini sn sababu aliyekosea wapo naye dini mojaNaona amekuwa msemaji wa CCM
Hatari snThe problem is uelewa wa watu walio karibu na Rais.
Hana vichwa rais nyuma yake.
Kesho Rais akiandikiwa kuwa Msumbiji ipo karibu na Djibouti mtasemaje?
Hii vile vile inadhihirisha uwezo mdogo wa Rais intellectually.