Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya

Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya

Jamaa ni mjinga sana, kwahiyo nikisema nina billion moja na kiualisia Nina million moja, nitakuwa nipo sawasawa upstairs??
Mjinga baba yako, unajua maana ya kumaanisha na ulimi kuteleza? Pumbavu mkubwa shenzi kabisa
 
Kwahiyo Zitto Kwa Akili zake Timamu anaona Hamna Haja Ya Kujadiri kati ya Millioni na Billioni? Eeeeh Ndio maana Sio Mbunge!

Zingekuwa ni ‘KURA’ Je asingeona Umuhimu wa Kujadiri?
 
Naunga mkono hoja. Ni upuuzi kupoteza muda kujadili vijambo tukaacha masuala (issues).
Mkuu akiba ya nchi siyo issue ya msingi kujadiliwa ?

Rais kasema tuna billion elfu sita Zitto anatuambia tuna Million Mia sita nani ni mkweli hapo kati ya Zitto na Samia ?
 
Back
Top Bottom