Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya

Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya

Difference ya milioni na bilioni ni kubwa sana. Haswa inapokuwa imetamkwa na Rais wa Nchi…. na wakaendelea kukaa kimya as if wapo sahihi

Zitto aache ukimbelembele wake
 
Sasa wewe ulieanzisha nyuzi mbili na mie nnaekuuliza kwenye uzi wako nani anashupaa?

Kama liko wazi kwanini uje kuanzisha uzi?
Ili niweke wazi kuwa wapinzani wa Tz huwa mnakomalia ishu ambazo hazina mashiko. Maana hili suala lipo wazi sasa leo kuanzia asubuhi mnakomaa kama vile hamjaenda shule bana.
 
Inahusiana nini na hoja iliyopo mezani?
Unataka kujiongezea kazi nyingine tena wakati hii ya kuisemea serikali inakukimbiza? Tumalize kwanza hili.
Kila kitu kimewekwa wazi, hakuna kujadili kuhusu B na M. Foreign reserve ni Usd bil 6.253.
 
Ili niweke wazi kuwa wapinzani wa Tz huwa mnakomalia ishu ambazo hazina mashiko. Maana hili suala lipo wazi sasa leo kuanzia asubuhi mnakomaa kama vile hamjaenda shule bana.

Unaona usivyo makini? Nani kakwambia mie mpinzani?

Umeleta post ya zitto bila kuitafakari na wewe umeingia kwenye anaowaita hawana kazi.
 
Unaona usivyo makini? Nani kakwambia mie mpinzani?

Umeleta post ya zitto bila kuitafakari na wewe umeingia kwenye anaowaita hawana kazi.
Nani kasema wewe ni mpinzani? Ulitaka hii post niitafakari vipi wakati ipo wazi?
 
Mi nashangaa watu kushupalia kosa la m na b
Sio kushupalia. Wewe unajua kipi ni sahihi hapo?

Hizi namba zinaimpact kubwa sana kwa wanaofuatilia hali ya kiuchumi ya nchi,kufanya uwekezaji,masoko,utoaji wa mikopo n.k

Ni lazima taarifa ziwe sahihi ili sizimpotoshe yeyote yule.
 
Back
Top Bottom