Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya

Ebo! Kumbe nilikua nakupa alama za juu kidogo kuliko unazo stahili? Kama hakuna shida unafikiri kwanini imekua gumzo?

Ungekua kwenye huu uzi kweli kama B na M zisingejitokeza kwenye hotuba?

Jaribu kutuliza kichwa kidogo mkuu.
Ahaaaa, nilijua utajaa tu namna hii. Ipo wazi kuwa ile ni Usd bil 6.253. sasa Kiongozi kukosea kutamka ndio ishu ya wewe kukomaa kana kwamba hujaelewa nini ni nini?
 
Unajua tokea mwanzo nilijua kabisa una shida, ila sikujua shida ni kubwa kiasi hichi.

I was once warned not to argue with a fool, in fact it is prohibited. You will eventually be dragged to his level then they will win, why? They are experienced!
 
2B0F9DBF-81F0-4B65-951B-86E4AA68D139.jpeg
 
Unajua tokea mwanzo nilijua kabisa una shida, ila sikujua shida ni kubwa kiasi hichi.

I was once warned not to argue with a fool, in fact it is prohibited. You will eventually be dragged to his level then they will win, why? They are experienced!
Ahaaaa, acha mikwara ya kitoto. Kama una akili timamu huwezi kujadili upuuzi kama huu. Ipo clear kuwa Usd bil 6.253 ni foreign reserve. Sasa mkuu wa nchi kukosea kutamka ndio ishu?
 
Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya​

Unajadili au haujadili hii topic?
 
Zitto awamu hii anaendeshwa na mfumo wa imani zaidi kuliko uhalisia...
Asalam aleykhum sheikh Zitto.
 
Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya​

Unajadili au haujadili hii topic?
Unaweza kudhania una akili kumbe mpumbavu.
 
Ahaaaa, acha mikwara ya kitoto. Kama una akili timamu huwezi kujadili upuuzi kama huu. Ipo clear kuwa Usd bil 6.253 ni foreign reserve. Sasa mkuu wa nchi kukosea kutamka ndio ishu?
Acha ujinga wewe.
Hiyo figure umeiokota wapi wakati tumemsikia na kumuona rais akisema dola bikioni 6,253
 
Zitto asitake kufanya watu ni wapuuzi.hakuna mtu anayeangaika na makosa ya kisarufi au vyovyote vile ila watu wanahoji uwepo wa hiyo akiba,ili wajue nchi ina akiba ya utajiri kiasi gani katikati ya umasikini uliotamalaki hadi kuingia mikopo mikubwa mikubwa.Anatakiwa kujua kua kilichozungumzwa ni akiba,kwa maana ni kitu ambacho kipo,sasa je nisahihi kuambiwa akiba ambayo haiko.maana kuna tofauti kubwa kati ya milioni na bilioni.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kudhania una akili kumbe mpumbavu.

Uzi uanzishe mwenyewe kisha uite watu wapumbavu?

Uzi umejikita kuwashangaa wanaojadili hili jambo. Nimekuuliza, wewe una jadili au haujadili?

Hapo namaanisha umeelewa vizuri kilichoandikwa na zitto hadi ukakileta hapa licha ya kuwa tayari ulishafungua uzi mwingine wenye maudhui ya tatizo la B na M?

Uzuri ni kwamba unaweza kuniita chochote, haina madhara kwangu.

Nakuuliza tena, kwa mujibu wa hii heading ya huu uzi, wewe unajadili au haujadili B na M?
 
Sijadili juu ya B na M
 
Huu uzi umeuleta hapa wanini kutoka huko aliko post zitto?
Ili watu wasio na uelewa kama wewe uelewe kuwa foreign reserve ya Tanzania ni Usd bil 6.253. Hivyo kiongozi kukosea na kusema ni Usd mil 6253 sio ishu ya kushupaza shingo mpaka mnajamba
 
Back
Top Bottom