kamjabari
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,144
- 1,668
Maandiko na matamshi ya rais kwamba nchi yetu Ina reserve ya bilioni 6 nuktakadhaa Dola za kimarekani ,si jambo dogo Kama Zitto anavyo sema , Ni vyema Kama Kulikuwa na makosa ikulu ije irekebishe mbele ya vyombo vya Habari kama ilivyo tangazwa kwenye vyombo vya Habari.
Lakini pia Kuna wasiwasi mkubwa ju ya maelezo ya rais kuhusu takwiimu za mufumko wa bei ya vitu nchini ,rais kasema ni 2-3 % lakini kiuhalisia mtaani mufumko wa bei ni mkubwa sana Kati ya 20-40 % ndani ya mwaka.