Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya

Kwani hujui kuwa Usd mil 6253 ni sawa na bil 6.253? Je kuna haja ya kujadili B na M?
Ni sawa na bilioni 6.253 ya nini?Inaonesha una akili mbovu kama muandaaji wa ile hotuba.Uandikapo au kuongea kitu,usiache maswali.Maliza kila kitu Usiandike au kuongea kama kila mtu yupo kichwani mwako.Kwa ujinga huu,kila siku tutawasumbua hadi mjikojolee.
 
Ahaaaa, umekosa hoja. Acha kujadili B na M
 
Hujui tofauti ya B na M ndio maana umehoji na kukomalia upuuzi
Huku unakubali kwamba makosa yamefanyika bahati mbaya, hapo hapo tena unajitoa ufaham.

Kutaja B badala ya M ni ishu ndogo sana
 
Kutaja B badala ya M ni ishu ndogo sana

Ndogo kwako, madhara yake ni makubwa kuliko unavyofikiria.

Kama unakubaliana na kauli kwamba kujadili hili jambo sio muhimu, usingekua unachangia huu uzi.

Na Ikulu wataweka sawa hili muda sio mrefu.
 
Kwani kuna upotoshaji?
 
Back
Top Bottom