Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya

Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya

Ok ni human error,ni kweli.

Lakini foreign reserve ndio jeuri ya Taifa.sio jambo dogo.

Zittoa ameamua kutupangia cha kujadili.
sasa yeye anasemaje kuhusu hizo gharama za maisha, zimekuwaje.
 
CDM ni lini wataacha kucheza ngoma ya CCM? Mara Ndugai, Polepole, Gwajima, jengeni chama chenu wakuu
 
Hii nchi ngumu sana, mtu anakataza watu kujadili kitu ambacho yeye mwenyewe anakijadili.

Hadi anaandika haya si inamaana na yeye yumo kwenye hao anaowaita wamekosa kazi?

By the way who is Zitto aamulie watu nini cha kujadili na kipi sio cha kujadili?
Mkuu unategemea la maana kutoka kwa huyu KADA?
 
Hiyo B au M ,inaonyesha jinsi taasisi ya Uraisi ilivyopwaya!!hotuba ya Raisi haisndikwi na mtu mmoja,na ikisha andikwa,Raisi lazima aipitie yote,au wasaidizi wake waipitie,sasa Hata kama kwenye M wsliweka B,inaamaana Hata Raisi hajuhi uhalisia wa akiba ya pesa za kigeni?yaani anachoambiwa anaenda nscho hewani kama kilivyo,hata akiambiwa sasa hv makao makuu ya Serikali ni singida na mji wa serikali wa mtumba upo kigoma kesho aende kuuzindua,yeye atasema kama aliyoambiwa.
 
Watz wana haki ya kuhoji. Kumbuka tuna sheria ya takwimu inapokosewa na taasisi ya urais unategemea nini. Wasaidizi wake wawe makini.
 
Sawa. Tufanye hatujadili hizo "me" wala "be"! Siku tukidai mtuoneshe hizo fedha kiuhalisia msianze kuita polisi wakamate watu.Kama tarakimu, mln au bln ilikosewa, isahihishwe. Kufunika kombe mwanakharamu abatizwe haisaidii kitu.
Unachangia kiasi gani cha foreign exchange mpaka utake kuonyeshwa? Pesa zako zote za madafu, pengine hata kodi hulipi, au unalipa kwa kulazimishwa, halafu unataka uonyeshwe forex, ili iweje?
 
Hiyo ni kosa dogo tuu kama Gadafi kuwa Rais wa Iraq, tujifunze kupotezea vitu petty.
 
Back
Top Bottom