dada katika imani?
Ndugu katika imani hua hawakosoani haujastuka tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dada katika imani?
Yaani huyu kijana Zito ni moja ya watu kuzaliwa kwao Tanzania ni bahati mbaya sana. Anazibia vijana wengi mno kwa mawazo yake finyu. Kipindi cha Dkt Magufuli alikuwa ni kutukana tu kwenda mbele na mpaka kifo aliendelea kumdhihaki. Ma mpaka alifikia hatua ya kufurahia kwa kuzusha kifo cha Dkt Magufuli kipindi kile kule rais Dkt Magufuli alipopata dharula, yeye akaposti picha za kumpongeza Mama Samia kuonesha furaha yake kwa kifo cha Dkt Magufuli. Leo amekuwa muungaji wa kila jambo kupitia mgongo wa Dini. Ila ngoma bado mbichi. Tunahitaji taifa huru kiuchumi na fikra.
Labda yeye anajidhania siyo mtu mzima, hivyo ana ruksa ya kujadili.Hii nchi ngumu sana, mtu anakataza watu kujadili kitu ambacho yeye mwenyewe anakijadili.
Hadi anaandika haya si inamaana na yeye yumo kwenye hao anaowaita wamekosa kazi?
Zito huna akili, unapocheza na pesa za watu ni kosa kubwa
Lazima ushangae kwa sababu huna unalolijua. Kuna tofauti kubwa mnooo kuwaambia wana nchi una dola bilioni 6 VS dola milioni 6... Na kama umekosea si usahihishe basi Mara moja??Mi nashangaa watu kushupalia kosa la m na b
Halafu cha ajabu zaidi ni kuwahutubia watanzania kwa dola ya kimarekani badala ya shilingi ya kitanzania...Sioni tofauti ya akili yako mbovu na ya Zitto. Kwa hiyo siku hizi bilioni ni Sawa na milioni? Yaani ukitaka kusema milioni unaweza tu kusema bilioni ukaeleweka?
Wenye mapenzi mema na nchi hii msinhepaza sauti wananchi wangeendelea kudanganywa kwamba nchi yao ina akiba ya fedha za kigeni kuliko Japan.Kwahiyo Zitto Kwa Akili zake Timamu anaona Hamna Haja Ya Kujadiri kati ya Millioni na Billioni? Eeeeh Ndio maana Sio Mbunge!
Zingekuwa ni ‘KURA’ Je asingeona Umuhimu wa Kujadiri?
Yule Msukuma Mwendazake aliishia la ngapi wakati aliposimamisha msafara Dumila aliweka mhindi wa kuchoma sikioni na simu aliyopigiwa akiitafuna?We umeishia darasa la ngapi?
Ikulu tayari wameshatolea ufafanuzi.Labda yeye anajidhania siyo mtu mzima, hivyo ana ruksa ya kujadili.
Unajadili M au B wakati jibu lipo wazi acha upuuzi
jamaa yako badala alazimishe msemaji wa serikali atoe ufafanuzi eti yeye ndio anawatolea ufafanuzi kwa niaba yao
Zitto kageuka msemaji wa serikali
Zitto anajipendekeza aisee mpaka anatia kinyaa
Ni msaidizi wa Charles Hilal ama ni uoande wa actZitto msemaji wa ikulu
Zitto hajitambui, kimshahara cha mchongo anachopokea kila mwezi kutoka kwa Mwinyi na Samia ndo kinampumbaza, na kwani ni mara ya kwanza?Maandiko na matamshi ya rais kwamba nchi yetu Ina reserve ya bilioni 6 nuktakadhaa Dola za kimarekani ,si jambo dogo Kama Zitto anavyo sema , Ni vyema Kama Kulikuwa na makosa ikulu ije irekebishe mbele ya vyombo vya Habari kama ilivyo tangazwa kwenye vyombo vya Habari.
Lakini pia Kuna wasiwasi mkubwa ju ya maelezo ya rais kuhusu takwiimu za mufumko wa bei ya vitu nchini ,rais kasema ni 2-3 % lakini kiuhalisia mtaani mufumko wa bei ni mkubwa sana Kati ya 20-40 % ndani ya mwaka.