Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Hii ni kupigana midongo ya nguvu

"Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?"
πŸ‘‡
 
Hii ni kupigana midongo ya nguvu
πŸ‘‡View attachment 2402253
Huwa najiuliza sana ni kitu gani kina howafanya watu wavutiwe na chama cha ACT-Wazalendo maana sioni jitiada zozote wanazozifanya kutaka kuikomboa tz kutoka kwa mkoloni mweusi

Zitto yupo zaidi kwenye maslahi yake binafsi na ya chama chake kuliko maslahi ya nchi. ACT ni kirusi cha tu kama kirusi cha covid-19
 
Hizo ndio siasa, sikutegemea wasipige Madongo. Na wakati mwingine hayo Madongo yanasaidia kujirekebisha pale unapokosea.
 
Zitto mbona analeta siasa za maji taka? Jukumu namba moja la Serikali ni lazima watoe huduma za jamii ikiwemo maji ,shule ,barabara ,hospital etc ilo sio ombi ni lazima hata serikalini ingeongozwa na "MATONYA" maana kuna Bunge ndio linalowakilisha wananchi na kuisimamia serikali kutekeleza matakwa ya wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…