Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

Wewe unaweza kuachia nafasi ya uenyekiti kwenye SACCOS ya urithi? Naona kuna kijana anaitwa James Mbowe ambaye ni mtoto wa Mbowe nadhani ndo atarithi nafasi ya baba yake. Hao kina Heche, Lissu na kina Msigwa, ni watu baki hawawezi pewa nafasi nyeti ya uenyekiti. Kile chama ni cha familia. Lema angekuwa na akili timamu angefikiriwa.
 
Umeshindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu.

Umeshindwa hata kuwa na wabunge wa kuinyoosha na kuidhibiti serikali

Lissu sasa anakubalika zaidi yako. Na ana uchungu na wanannchi kuliko wewe unakula na CCM kwenye sinia moja.View attachment 2508106
Anza wewe kutafuta mtu umpe nafasi ya kuendesha FAMILIA Yako Ili watoto wako waone tofauti ya baba wewe na mwingine.

Mbowe is there to stay.
 
Hii ni kupigana midongo ya nguvu

"Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?"
👇
View attachment 2402599
Ukweli usemwe ni kweli Chadema wamezidi chama chao kilikuwa na ushawishi mkubwa lakini wameshindwa hata kujenga ofisi wao kazi yao ni kukusanya michango tu kwa wanachama
 
kupaka rangi jengo moja la makao makuu ndio wamekua na ofisi nchi nzima?, mbona hatuoni majengo ya ofisi za mashina na wilaya zikijengwa? maisha ni kupanga na kuchagua
 
Hii ni kupigana midongo ya nguvu

"Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?"
👇
View attachment 2402599
Huyo mkoma tumeshamdharau kitambo tu.
 
Mema ya kada wa CCM hamtaki ila asali ya Mama wa CCM?.
Unamjua aliyetoa fedha za vile vikao?
Unamjua aliyetoa fedha za trips za ulaya na US?
Unamjua aliyetoa fedha za uzinduzi wa mikutano ya hadhara?
Unamjua anayelipia wakimbizi wenu kurejea nchini?.
P
tupe na risiti au invoices kama hakuna huu ni umbeya na udaku kama wa Instagram ukizingatia wewe ni mwandishi mkongwe
 
Back
Top Bottom