Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

Hii ni kupigana midongo ya nguvu

"Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?"
👇
View attachment 2402599
Chama cha upinzani mpinzani wake ni chama cha upinzani 🤣🤣🤣🤣
 
Hii ni kupigana midongo ya nguvu

"Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?"
[emoji116]
View attachment 2402599
Wao wamejenga ofice ipi?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Kujenga ofisi za chama na kujenga madarasa ni vitu viwili tofauti.

Zitto ameanza kuchanganyikiwa?.
 
CDM lkn jitazameni - hili la ofisi ni muhimu hata kama hamtajenga nchi nzima lkn hata makao makuu nafuu.
Sasa miaka lukuki hela ya ruzuku inaenda wapi?
 
Umeshindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu.

Umeshindwa hata kuwa na wabunge wa kuinyoosha na kuidhibiti serikali

Lissu sasa anakubalika zaidi yako. Na ana uchungu na wanannchi kuliko wewe unakula na CCM kwenye sinia moja.
20230206_101720.jpg
 
Lissu Anafaa kuwa mwenyeketi wa chama, ila Samia 2025 ni Rais atakayeshinda kwa kishindo pasipo hata kuibwa kwa kura, CHADEMA ijikite sana kwenye viti vya ubunge, Wabunge wa CCM waliharibiwa na mwendakuzimu.
 
Umeshindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu.

Umeshindwa hata kuwa na wabunge wa kuinyoosha na kuidhibiti serikali

Lissu sasa anakubalika zaidi yako. Na ana uchungu na wanannchi kuliko wewe unakula na CCM kwenye sinia moja.View attachment 2508106
Magufuli alisema msaliti wa nchi hatakiwi kuishi na baada ya masaa machache nikapigwa risasi ~~~~~ Lisu.

Kumbe anajijua kabisa ni msaliti
 
Mleta mada, Mbowe ni shujaa na CHADEMA ina utaratibu wake!
Sijui CCM mnakereka na nini! mna hali mbaya sana CCM nawaapia lusi nyie!
Miaka 62 ni uhuni, wizi, ufisadi, nepotism, utapeli na umangi-meza
 
Umeshindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu.

Umeshindwa hata kuwa na wabunge wa kuinyoosha na kuidhibiti serikali

Lissu sasa anakubalika zaidi yako. Na ana uchungu na wanannchi kuliko wewe unakula na CCM kwenye sinia moja.View attachment 2508106
Hivi Mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Mayele anaweza Kukubali kumuachia Mshambuliaji Mwenzake Kenneth Musonda apambanie Ufungaji Bora na Kiatu cha Dhahabu katika NBC Premier League ambacho na Yeye anakihitaji sana?

Ninasubiri jibu lako Kiongozi wangu.
 
Lisu ni wakala wa Samia hawezi kubadili chochote cha Mbowe aliye wakala wa Kikwete.

Asomaye na afahamu hili haya maneno.
 
Back
Top Bottom