Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Chama cha upinzani mpinzani wake ni chama cha upinzani 🤣🤣🤣🤣Hii ni kupigana midongo ya nguvu
"Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?"
👇
View attachment 2402599
Wao wamejenga ofice ipi?Hii ni kupigana midongo ya nguvu
"Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?"
[emoji116]
View attachment 2402599
Hizo ndio zitumike kwa kujengea shule, hospital n.k?Chadema wanapata fedha za ruzuku
Makamanda tutashukuruMbowe anapita kuaga mikoani
Wewe CCM achana kabisa na ChademaMakamanda tutashukuru
Kuwa na heshimaWewe CCM achana kabisa na Chadema
Wewe unatushauri kama nani?Lissu Anafaa kuwa mwenyeketi wa chama, ila Samia 2025 ni Rais atakayeshinda kwa kishindo pasipo hata kuibwa kwa kura, CHADEMA ijikite sana kwenye viti vya ubunge, Wabunge wa CCM waliharibiwa na mwendakuzimu.
Kwani Lisu hajawahi kwenda kula Ikulu?unakula na CCM kwenye sinia moja
Magufuli alisema msaliti wa nchi hatakiwi kuishi na baada ya masaa machache nikapigwa risasi ~~~~~ Lisu.Umeshindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu.
Umeshindwa hata kuwa na wabunge wa kuinyoosha na kuidhibiti serikali
Lissu sasa anakubalika zaidi yako. Na ana uchungu na wanannchi kuliko wewe unakula na CCM kwenye sinia moja.View attachment 2508106
Hivi Mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Mayele anaweza Kukubali kumuachia Mshambuliaji Mwenzake Kenneth Musonda apambanie Ufungaji Bora na Kiatu cha Dhahabu katika NBC Premier League ambacho na Yeye anakihitaji sana?Umeshindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu.
Umeshindwa hata kuwa na wabunge wa kuinyoosha na kuidhibiti serikali
Lissu sasa anakubalika zaidi yako. Na ana uchungu na wanannchi kuliko wewe unakula na CCM kwenye sinia moja.View attachment 2508106
Huu ni uchochezi na uchonganishi!. Next chairman ni Heche, mtu kaziLissu sasa anakubalika zaidi yako. Na ana uchungu na wanannchi kuliko wewe unakula na CCM kwenye sinia moja.