Mgombea ubunge kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza siku ya Uchaguzi Mkuu ya Oktoba 28, 2020, atampigia kura mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ili awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
:
"Kwa nafasi ya Rais wa Tanzania, Mimi Zitto Kabwe, nitapiga kura Tundu Lissu. Huyu ndiye mgombea wa upinzani ambaye ana nguvu ya kumshinda mgombea wa chama tawala, amefanya kampeni nchi nzima, mwitikio wa wananchi kwake ni mkubwa" - Kabwe
nipashetz
Nijuavyo Kura ya Mtu ni 'Siri' na kuna 'Wanasiasa' wengine wa Tanzania wanajulikana walivyo 'Wanafiki' na 'Waharibifu' Wakuu wa Upinzani nchini.