Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

Mimi nipo upande wa zitto. Haya mateso ya watanzania hakuna mwingine aliyeleta zaidi ya ccm. Ni wakati muafaka kuua huu mfumo wa waliojiwekea
Sasa mkuu 2015 vyama viliungana achilia mbali na nguvu binafsi za Lowassa mwenyewe ila bado ilishindana kumtoa ccm,nashangaa watu mnavyoweka matumaini yenu yote kuwa Lissu ndio ataweza kuitoa ccm madarakani huku ikiwa hakuna chochote kilichowekwa sawa ambacho kilizuia 2015 ccm asing'oke pamoja na nguvu kubwa yote iliyotumika.
 
Acha washindwe kwenye sanduku la kura mkuu. Ya 2015 achana nayo
 
Mbona Watanzania wengi wamemuelewa? Siku ukitia akili kichwani labda na wewe utaelewa
Ndio nahoji hapa walichokielewa ni kipi ambacho hadi waone kuwa Lissu ndio anafaa kuwa rais wa hii nchi? ukiniambia kuwa sababu anafokea ccm na magufuli bila woga hivyo ndio watanzania wenyewe wakaona mtu huyo ndio anaweza na kufaa rais wa nchi kwa sifa hiyo basi sawa.
 
MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.

Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa:

1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT Wazalendo.

2. Pale ambapo kwenye Kata au Jimbo la Uchaguzi hakuna Mgombea wa ACT Wazalendo, lakini kuna wagombea wengine wa Vyama vya Upinzani, ACT Wazalendo tunawaomba MPIGIE KURA MGOMBEA WA CHAMA CHA UPINZANI mwenye nguvu zaidi ili kutokutawanya Kura.

3. Kwa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mimi Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe NITAPIGA KURA YANGU kwa ndugu Tundu Antipas Mughwai LISSU. Huyu ndiye Mgombea wa Upinzani ambaye ana nguvu ya kumshinda Mgombea wa Chama tawala, amefanya kampeni nchi nzima, mwitikio wa Wananchi kwake ni mkubwa sana, ameeleza kwa ufasaha dhamira yake ya kuleta mabadiliko na sina mashaka na dhamira hiyo, pamoja na anayotaka kuyafanya kama Rais, ni mambo hayo ndiyo yaliyonipa msukumo wa kumpigia Kura Lissu.

Zaidi NINAMUAMINI LISSU kutokana na historia yake ya kupigania Haki za Watu. Ninaomba kila mpenda Haki na Mabadiliko nchini ampigie kura ya URAIS ndugu Tundu Lissu ili awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Natanguliza Shukran kwenu

Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama, ACT Wazalendo
Bangwe, Kigoma Mjini
Oktoba 16, 2020
Zitto umeshamaliza kazi. October 30 tukutane uwanja wa taifa kumwapisha Rais mpya kabisa.
 
Wewe uliharibu ACT kuweka mgombea. Sasa pale kwenye karatasi ya uchaguzi jina la Membe lipo. Yaani shaghala bagala wanasiasa wa TZ.
Hakuharibu hali ilikuwa mbaya kulikwa na Kitisho cha kutompitisha Lissu. Hata hivyo wana ACT wanajua maana yake. Kura zote kwa Lissu.

Literally ni kuwa Kuda zote za CUF ni kwa Lissu. Ukumbuke NCCR na CUF lipumba haipo tena. So unaweza kuona ni Lundo la Kura.
 
Sasa mkuu 2015 vyama viliungana achilia mbali na nguvu binafsi za Lowassa mwenyewe ila bado ilishindana kumtoa ccm,nashangaa watu mnavyoweka matumaini yenu yote kuwa Lissu ndio ataweza kuitoa ccm madarakani huku ikiwa hakuna chochote kilichowekwa sawa ambacho kilizuia 2015 ccm asing'oke pamoja na nguvu kubwa yote iliyotumika.
Habari za lowasa achana nazo. Lowasa alishinda kamwulize magufuli anajua.
 
Uzalendo kusaliti mgombea wa chama chako?
Zitto huyuhuyu aliyefukuzwa chadema kwa sababu za usaliti katika chama ila leo kasaliti chama chake et unamwita mzalendo!

Huyu tabia ya usaliti hatoacha.
Uzalendo wa kuungana na wazalendo wa kweli. Hakuna Ubishi TAL ndiye anamuondoa Magufuli
 
MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.

Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa:

1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT Wazalendo.

2. Pale ambapo kwenye Kata au Jimbo la Uchaguzi hakuna Mgombea wa ACT Wazalendo, lakini kuna wagombea wengine wa Vyama vya Upinzani, ACT Wazalendo tunawaomba MPIGIE KURA MGOMBEA WA CHAMA CHA UPINZANI mwenye nguvu zaidi ili kutokutawanya Kura.

3. Kwa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mimi Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe NITAPIGA KURA YANGU kwa ndugu Tundu Antipas Mughwai LISSU. Huyu ndiye Mgombea wa Upinzani ambaye ana nguvu ya kumshinda Mgombea wa Chama tawala, amefanya kampeni nchi nzima, mwitikio wa Wananchi kwake ni mkubwa sana, ameeleza kwa ufasaha dhamira yake ya kuleta mabadiliko na sina mashaka na dhamira hiyo, pamoja na anayotaka kuyafanya kama Rais, ni mambo hayo ndiyo yaliyonipa msukumo wa kumpigia Kura Lissu.

Zaidi NINAMUAMINI LISSU kutokana na historia yake ya kupigania Haki za Watu. Ninaomba kila mpenda Haki na Mabadiliko nchini ampigie kura ya URAIS ndugu Tundu Lissu ili awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Natanguliza Shukran kwenu

Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama, ACT Wazalendo
Bangwe, Kigoma Mjini
Oktoba 16, 2020
Sio Zitto tu hata na Lipumba akipimgia kura huyo Lissu, oktoba 28 Magufuli atawando tu
 
Hebu acha kujitoa ufahamu! Si kila kitu lazima nawe ukielewe kutokana na UFINYU wako wa akili.
Ndio nahoji hapa walichokielewa ni kipi ambacho hadi waone kuwa Lissu ndio anafaa kuwa rais wa hii nchi? ukiniambia kuwa sababu anafokea ccm na magufuli bila woga hivyo ndio watanzania wenyewe wakaona mtu huyo ndio anaweza na kufaa rais wa nchi kwa sifa hiyo basi sawa.
 
Tanzania inaendelea kupona ukiona hawa mabarazuli wa Taifa hili wanatoa kauli kama hizi jua wameshikwa wakashikika haswa. Zitto yule wa kutumia ndege za TANAPA kama ubber, yule wa kwenda kutibiwa kambaku India leo anatoa statement out of desperation hivi. Aaah!
 
Acha washindwe kwenye sanduku la kura mkuu. Ya 2015 achana nayo
Lengo ni kuitoa ccm madarakani na sio kwenda kupiga kura tu halafu tunaanza kusema kuwa tumeshinda kwenye sanduku la kura ila ccm wameiba kura,mambo haya ndio maana wengine wameona waache hata kupiga kura kwenyewe.

Tutaacha nayo vp mkuu wakati kuna la kujifunza mkuu,uchaguzi huu wapinzani walikuwa nae makini Membe kutokana na walichojifunza kutokana na tukio la Lowassa 2015 hivyo pia lazima tuangalia 2015 ni kipi kilishindikana kumg'oa ccm ambacho tunadhani sasa kwa kumtumia Lissu ndio itawezekana?
 
Yeye kama yeye kadeclear kumpigia Lissu. Anawashaurije wafuasi wake?

Membe atampigia nani? Mbona kuna kigugumizi kwenye hii issue? Chama kimeshindwa kuafikiana!?
Bado unasubiri atangaze kuwa wana ACT nao wampigie.....mzee mbona ubongo wako umelala sana hivyo?? Hapo ndio kamaliza mchezo wa NEC
 
Tanzania inaendelea kupona ukiona hawa mabarazuli wa Taifa hili wanatoa kauli kama hizi jua wameshikwa wakashikika haswa.
Eti hata wampigie nani watashinda tu. Zamani ilikuwa kwamba watapata kura nyingi. Sasahivi wanajua kura hawapati ila watashinda. Hiki ni kipimo cha mafanikio kwa wapinzani
 
Back
Top Bottom