Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

Vipi Kachero bado hajamaliza kuandaa baraza lake la Mawaziri?
 
Yeye kama yeye kadeclear kumpigia Lissu. Anawashaurije wafuasi wake?

Membe atampigia nani? Mbona kuna kigugumizi kwenye hii issue? Chama kimeshindwa kuafikiana!?
Sidhani kama akili yako inakutosha hata kuvuka barabara tu
 
Ni Kama kazunguka tu..
That is the point. Kwanini azunguke? Membe yupo wapi? Kwanini Membe wasimpandishe jukwaani akasema kitu?

Membe hajatoa tweet nyingine tangu siku ile alipocharuka na kudai “ yeye ndio yeye” na tangu siku hiyo Zitto anayumbayumba tu
 
Hata ukitoa ugomvi lakini wewe hautokuhusu.
Shida itatokea pale Lissu akipata urais kila mtu atasema anataka uwaziri mkuu kwa sababu alimsaidia kuupata huo urais na ugomvi mkubwa utatokea miongon mwao
 
zito unatuchanganya sisi wapiga kura, maana sisi tunamtambua Membe sasa kimetokea nini ?! unapaswa utoe tamko rasmi na uelezee sababu za kufanya hivyo
miaka 50 lkn akili sifuri
 
Zitto amesahau vyama 4 viliungana 2015 lakin vikafel? Ila yupo sahihi lakin maneno kitu
 
CCM hatusumbuki na kauli hiyo - tutapiga kundi lotee

Ccm haitegemei kura kukaa madarakani, bali inategemea madaraka ya rais kutishia tume ya uchaguzi, na kuagiza vyombo vya dola kulinda ushindi wa hujuma.
 
Itisha vyombo vya habari na uwaeleze wanachama wako kwa sauti kubwa,
Vinginevyo utaonekana mnafiki na msaliti ,
Inasemekana ulitumwa na Maccm kumleta Membe,ili kura za LISSU azipunguze.

Jitokeze hadhalani, WANANCHI wengi hawapo kwenye mitandao.
 
Maskini Membe,sarakasi zote zile anaishia hapa.
 
Vipi kuhusu mgombea wa chama chako Kachero Mbobezi Bernard Membe?

Membe ni mwanaccm bosheni aliyekuja upinzani wakitegemea cdm wataingia mkenge kama wa Lowassa. Zito naye kagundua mzee hauziki hivyo kampotezea. Membe arudi ccm tu watu washastuka.
 
Back
Top Bottom