mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Ni yeye 2020!Vipi kuhusu mgombea wa chama chako Kachero Mbobezi Bernard Membe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yeye 2020!Vipi kuhusu mgombea wa chama chako Kachero Mbobezi Bernard Membe?
Kwanini Zitto ameshindwa kucome out clearly bila chenga na “kuagiza” ACT wote wampigie Lissu - kama alivyofanya kwa madiwani na Wabunge?Tumeshatumia bongo zetu.kura kwa Tundu Lissu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.
2. Pale ambapo kwenye Kata au Jimbo la Uchaguzi hakuna Mgombea wa ACT Wazalendo, lakini kuna wagombea wengine wa Vyama vya Upinzani, ACT Wazalendo tunawaomba MPIGIE KURA MGOMBEA WA CHAMA CHA UPINZANI mwenye nguvu zaidi ili kutokutawanya Kura.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba[emoji16][emoji16][emoji16].hajapona huyu.
Utawaweza Hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yeye kama yeye kadeclear kumpigia Lissu. Anawashaurije wafuasi wake?
Membe atampigia nani? Mbona kuna kigugumizi kwenye hii issue? Chama kimeshindwa kuafikiana!?
Mbona hata wao wanajua kushinda ni swala ambalo halipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwako Mwalimu Kashaha..
Sisi CCM tunasema Hashindi
Mimi ni nani hata nipate kupingana na mpango na chaguo la Mungu Muumbaji? Mimi na familia yangu ya watu wanne, wote tupo pamoja na Tundu Lissu.MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.
Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa:
1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT Wazalendo.
2. Pale ambapo kwenye Kata au Jimbo la Uchaguzi hakuna Mgombea wa ACT Wazalendo, lakini kuna wagombea wengine wa Vyama vya Upinzani, ACT Wazalendo tunawaomba MPIGIE KURA MGOMBEA WA CHAMA CHA UPINZANI mwenye nguvu zaidi ili kutokutawanya Kura.
3. Kwa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mimi Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe NITAPIGA KURA YANGU kwa ndugu Tundu Antipas Mughwai LISSU. Huyu ndiye Mgombea wa Upinzani ambaye ana nguvu ya kumshinda Mgombea wa Chama tawala, amefanya kampeni nchi nzima, mwitikio wa Wananchi kwake ni mkubwa sana, ameeleza kwa ufasaha dhamira yake ya kuleta mabadiliko na sina mashaka na dhamira hiyo, pamoja na anayotaka kuyafanya kama Rais, ni mambo hayo ndiyo yaliyonipa msukumo wa kumpigia Kura Lissu.
Zaidi NINAMUAMINI LISSU kutokana na historia yake ya kupigania Haki za Watu. Ninaomba kila mpenda Haki na Mabadiliko nchini ampigie kura ya URAIS ndugu Tundu Lissu ili awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Natanguliza Shukran kwenu
Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama, ACT Wazalendo
Bangwe, Kigoma Mjini
Oktoba 16, 2020
Mbona kwenye karatas ya Kura Kuna jina la kachero
Kristo akubariki Kaka ZittoMSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.

Amekutana na wajanjaNi vizuri, hii statement ya kumpigia kura mgombea mwenye nguvu naamini ni mbinu ya kumkwepa msajili na zile sheria zake za mitego.
Pandikizi mbona huyu huyu msaliti alimchukua kuwa mgombea wake. Zitto, Lissu hao wote vibaraka tu wa mabeberu. Hamna lolote mnaloweza kuwapa watanzania. Kipondo cha uhakika kipo kwa ajili yenu Oct 28.Membe lilikuwa ni pandikizi la Jiwe.
Hapa tunaenda na Lissu tu.
Kasema hivyo kwa diwani na Ubunge ila hajasema hivyo kwenye Urais.
Kwenye Urais kasema YEYE atampigia Lissu then kawaacha nyie mtumie bongo zenu