Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

Bernard Membe hana hamu tena na Zitto aliye ahidi atapambana nae kwenye jua na mvua ajabu baada ya kuona mambo sio mazuri Zitto huyo huyo ndio wa kwanza kumkana.

Hivi alikuja ata kukupa pole hospitali?

Ama kweli “there are no permanent friends in politics, only permanent interest”.
 
Kwaheli Zitto, tutabakia kukuona kwenye makongamno na matamasha ya "wanasiasa" na sio bungeni wala kwenye kamati za bunge!
 
  • Thanks
Reactions: Ole
CCM mwaka huu ni nyepesikama pamba
Anza kuandaa daktari wako wa pressure kabisa usije kuanguka na kufa kwa pressure bure hutaamini kinachoenda tokea October 28 watanzania tutaishangaza dunia part two

Part one ilikuwa 2015 wakajitia kuziba masikio wajiandae part two 2020
 
Tusubiri tarehe 28 maneno mengi yanini
 
Kila nikisoma post naona wengi safar hii wamebadili maamuzi wanasema watamchagua lisu kweli muda ni mwalimu mzuri sasa kila mmoja Wetu akamshawishi baba, mama, Bibi, na babu kwa hakika ukipata watu 5 nyuma yako wakakuelewa tutfik mbali maana shida ni Hawa wazee Wetu hata tuwaeleze VP hawaelew ila uchaguz ukipita tunapooanza kuteseka wako mbele kutulilia shida ss vijana wao lkn kutusikiliza wagumu
 
Uko sahihi kabisa.
Upinzani makini kama huu sisiem ni kwaheri na ijiandae kuwa chama cha upinzani kama vile KANU ya Kenya na UNIP ya Zambia
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Membe sasa hivi haamini macho yake kama hawa ndio watz wale wale wa mitandaoni waliomshabikia miezi kadhaa iliyopita.

Zitto ana zambi sana. Mlichomfanyia Membe Mungu atawalipa.
 
Unaakili kama Mzee Mrema huoni aibu kuwa na mgombea wa chama chako lakini unaunga mkono mgombea wa chama kingine
 
Back
Top Bottom