Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

Haya ndiyo maneno tunataka kuyasikia, CCM walijua nguvu ya upinzani wakiungana ndiyo maana wakaja na sheria iliyoondoa nafasi ya wao kuungana.

Mkiendelea kuunganisha nguvu kwa namna hii Bara na Visiwani, nafasi ya CCM kushinda uchaguzi Mkuu huu ni finyu kama Ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.

Bravo Zitto Kabwe, huu ni wakati wa Tundu Lissu.
#Niyeye2020✌
 
Safi sana Mheshimiwa Zitto... katika uchanguzi huu....umeonyesha ukomavu wa kisiasa kweli kweli... Umekuwa mtulivu Sana na maamuzi ya hekima....mpaka natamani urudi nyumbani CHADEMA..... Hongera Sana...Ni Yeye 2020.
 
Mmechemka vibaya,wewe mwenyewe huna uhakika kama wananchi watakurudisha bungeni safari hii. Msaliti kamuunga mkono kibaraka. Hongereni
 
Unaota wewe. Wanaompigia kura huyo ni wewe na makuwadi wenzako. Watanzania sio wajinga kama wewe ambaye umetawaliwa na tamaa ya kula bila kunawa mikono. Mwaka huu utarudi kuchunga ng'ombe tu kama unazo sivyo utalala na njaa, unatia aibu jamii ya Watanzania.
 
Sawa pia binafsi naomba siku za usoni wewe na Lisu muunde chama kimoja au kupitia vyama vyama vyenu vya sasa mgombee uraisi mwaka 2025.
 
ACT mmevurugwa
Yaani Membe wamemtupa kienyeji Kama takataka kachaguliwa na vikao hakali vya ACT wazalendo katupwa kama takataka bila hata copy to him ya kuwa we don't need you thanks for your interest to join ACT wazalendo!!!!
 
Back
Top Bottom