Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

Ndio usanii wa zitto
 
Gharama za kawaida Sana kwenye ulingo WA siasa unaingia ukiwa unajitambua/ tambulisha kisha unatambulishwa na unaojitambulisha kwao
 
Exactly bonge la kampeni ya kisayansi kuwapiga chenga tumeccm na Maheraccm kwa sababu wanna akili ndogo hawatoelewa .
 
Mkuu walishapigwa stop na tume kuonekana wanaungana hadharani iliwa na wao wana mgombea. Hiyo ndio tekniki iliyokuwa imebaki. Akiongea kiongozi mkuu wa chama sisi wanachama tunaelewa na tutampigia kura TAL
Tatizo kaliweka “tamko” kwenye mtandao. Halitawafikia wapiga kura huko bush. Hili ni tanko binafsi bila shaka.

Tatizo la pili: Membe yupo kimya. Last tweet alisema hizi ni propoganda tu, yeye ndo mbeba Ilani ya Chama. Ukimya wake una kishindo kikuu.

Tatizo tatu: Tamko la Zitto limejaa usanii tu na ubinafsi. It is suprising how wapinzani hawalioni hili. Ukisoma point 1 na point 2 zinakinzana. Kwa hiyo maeneo ambayo ACT walipoweka wagombea wao hata kama ni dhaifu bado wanachama wawapige kura tu na kuwaacha wengine wenye nguvu zaidi kutoka upinzani (CHADEMa et al)?!
 
Mkuu walishapigwa stop na tume kuonekana wanaungana hadharani iliwa na wao wana mgombea. Hiyo ndio tekniki iliyokuwa imebaki. Akiongea kiongozi mkuu wa chama sisi wanachama tunaelewa na tutampigia kura TAL
Tatizo kaliweka “tamko” kwenye mtandao. Halitawafikia wapiga kura huko bush. Hili ni tamko binafsi bila shaka na kalitoa kama ushauri tu.

Tatizo la pili: Membe yupo kimya. Last tweet alisema hizi ni propoganda tu, yeye ndo mbeba Ilani ya Chama. Ukimya wake una kishindo kikuu.

Tatizo la tatu: Tamko la Zitto limejaa usanii tu na ubinafsi. It is suprising how wapinzani hawalioni hili. Ukisoma point 1 na point 2 zinakinzana. Kwa hiyo maeneo ambayo ACT walipoweka wagombea wao hata kama ni dhaifu bado wanachama wawapige kura tu na kuwaacha wengine wenye nguvu zaidi kutoka upinzani (CHADEMa et al)?!
 
Hehehe
Tukiwa weak si ndio vizuri ili mshinde kirahisiau vipi
 
Hehehehe tulia hivyo hivyo
 
Mzee mambo ya Act na chadema hayakuhusu. Zungumzia ya Lumumba.
Mie sina ujinga wa kushabikia vyama mkuu nashukuru kwa kutokuwa katika huo ujinga.

Mie chama chochote nakizungumzia ila ushabiki nawaachie wenyewe.
 
Sawa pia binafsi naomba siku za usoni wewe na Lisu muunde chama kimoja au kupitia vyama vyama vyenu vya sasa mgombee uraisi mwaka 2025.
Walishakaa pamoja chadema, Lissu akamtimua Zitto akamwita msiti 🤣🤣🤣
 
Membe yuko kwenye harakati za chini kwa chini kuthibiti wezi wa TUME.

Mwala huu ni siasa za akilisana.
Kwa Lowassa mlisema kama hivyo kuwa anajua mbinu za wizi za kuiba kura wanazotumia ccm hivyo ccm hawatoweza kumuibia kura.
 
Kumekucha
 
Maskini Membe [emoji3][emoji3].... Jasusi mbobezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…