hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,203
- 1,007
Nafasi ni nyingi sana nadhani atapewa uwaziri.Vipi kuhusu mgombea wa chama chako Kachero Mbobezi Bernard Membe?
anaandaa baraza LA mawaziri muda huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafasi ni nyingi sana nadhani atapewa uwaziri.Vipi kuhusu mgombea wa chama chako Kachero Mbobezi Bernard Membe?
Hivi wanaompinga Tundu Lissu, haya hawayaoni jamani au nao ni wanufaika na mfumo wa Dhurma na ukandamizaji?Na Mimi Kura Kwa Lissu!
1. Uhuru- Saivi tunaishi kwa wasiwasi uki- comment tu hata huko twitter kukosoa unaweza kujikuta una kesi ya money laundering....
Ulitarajia wapinzani tugawane kura mpate pa kutokea holaaaa imekula kwenuACT mmevurugwa
Hahahaha nakubaliana na wewe kabisa...Kila dalili za mitandaoni zinaonesha Lissu ndiye Rais ajaye ingawa hata kwenye mitandao mambo naona yanabadilika kwa kasiAndiko hili limetaka kuniliza kabisa duh ..
Andiko moja la kizalendo Sana
Zitto tunachukua nchi mapema Sana October 28.
Kila dalili zinaonyesha hakuna Mtu wa kumzuia Lissu Labda Mungu pekee....
Nooooooooooooooooo!Twendee na Membeeeeeeee!
Wewe ni wa nchi hii au??I think You should start using yours as well. Mtego upi? Tell me. Yaani mtego uwe set kwa nafasi ya urais tu ila sio kwa Wabunge au Madiwani?
Kabisa mkuu.... Ila nyie watoto wa dada akili zenu zinafikiria kuua watu tuBora nyie wenye akili tumamu.
Amina 🙏🙏🙏🙏Nina akili timamu nitampigia kura Tundu Lissu
MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.
Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa:
1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT Wazalendo.
2. Pale ambapo kwenye Kata au Jimbo la Uchaguzi hakuna Mgombea wa ACT Wazalendo, lakini kuna wagombea wengine wa Vyama vya Upinzani, ACT Wazalendo tunawaomba MPIGIE KURA MGOMBEA WA CHAMA CHA UPINZANI mwenye nguvu zaidi ili kutokutawanya Kura.
3. Kwa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mimi Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe NITAPIGA KURA YANGU kwa ndugu Tundu Antipas Mughwai LISSU. Huyu ndiye Mgombea wa Upinzani ambaye ana nguvu ya kumshinda Mgombea wa Chama tawala, amefanya kampeni nchi nzima, mwitikio wa Wananchi kwake ni mkubwa sana, ameeleza kwa ufasaha dhamira yake ya kuleta mabadiliko na sina mashaka na dhamira hiyo, pamoja na anayotaka kuyafanya kama Rais, ni mambo hayo ndiyo yaliyonipa msukumo wa kumpigia Kura Lissu.
Zaidi NINAMUAMINI LISSU kutokana na historia yake ya kupigania Haki za Watu. Ninaomba kila mpenda Haki na Mabadiliko nchini ampigie kura ya URAIS ndugu Tundu Lissu ili awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Natanguliza Shukran kwenu
Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama, ACT Wazalendo
Bangwe, Kigoma Mjini
Oktoba 16, 2020
muziki uko hapoHiyo barua ya Msajili ya kujieleza kwa nini Maalim alipanda jikwaa moja na Lissu, msiijibu kabisa. Kaukeni tu. Haina mashiko kisheria.
Haya sasa wana ACT wenzako huko wanasema Zitto kabwe na Maalim seifu wamekosa sifa za kuwa wanachama wa ACT wamevunja katiba.Mtajua hamjui mwaka huu. Kinachokuuma wewe ni nini?? Sisi wana ACT tunaungana na Zitto.
Hao nao wataangukia pua kama alivuoanguka Lipumba mpka leo anahutubia mawe.😅😅😅Haya sasa wana ACT wenzako huko wanasema Zitto kabwe na Maalim seifu wamekosa sifa za kuwa wanachama wa ACT wamevunja katiba.