#COVID19 Zitto: Nimepima, nimekutwa na maambukizi ya UVIKO. Naendelea vema

Baada ya Spana kuzidi kule Twitter naona Zito kaja kivingine.

Kutafuta huruma na kuhamisha mjadala.

Pole sana mkuu.
 
Pole sana ila bado wengi hawawezi kukuamini maana matendo na maneno yako huwa ni tata wakati mwingine. Wengi watajua wewe ni mzima ila una maana nyingine tu
Kutafuta huruma na kuhamisha mjadala.
 
Acha kutia watu hofu kwa tamaa ya umaarufu na kipato na sifa za kijinga
 
Pole mkuu. Uzuri mmoja hii “Omicron” inaenea kwa kasi sana lakini siyo as deadly as that delta variant.

Juzi kwenye kikao na rais ulivaa barakoa?
Juzi kwenye kikao na rais ulivaa barakoa?[emoji848][emoji15][emoji2827]
 
Pole kiongozi, wanaokusema vibaya hawajui maana ya Corona.
 
Pole kiongozi Mwenyezi Mungu akusaidie upone haraka urejee kwenye shughuli zako.
 
Hata 2019 ilianza hivi hivi hamko salama to that extent , kufikia march tutaona,,
Yaani hali ya hewa ya disemba hadi march hawa wadudu ndo wana develop ,
Mtu anaweza kukwambia hali inaendelea vizuri kisha unashitukia chali... Msijiamini sana, vaa barakoa, piga nyungu ,pata chanjo
 
Pole sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…