Pre GE2025 Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika tumekuta gari inabadilishwa Plate namba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Gentleman,
kusingizia mambo ambayo sio na hayapo ni zaidi ya ushirikina.

anatekwa wa nini kijana legevu na laini kama yule muungwana?

acheni unafiki wa kizembe hivyo ndrugu zango 🐒
Acha upumbavu mkuu, watu tunapoteza ndugu zetu mpaka Leo hatujui wako wapi kisha mnasema utekaji haupo?. Mbona yule Deo alietaka kutekwa kibamba picha zawatekaji zipo nahawajakamatwa mpaka Leo. Mkajifunze yaliyotokea 2010 mkoani Mara juu ya watu 17 kuuawawa kwa mapanga, sasa mnataka mturudishe kule.
 
Gentleman,
jikite kwenye mada mahususi mezani,
makasiriko ni ushirikina tu🐒
 
Sujui nchi yetu inaelekea wapi ?
 
Labda nikuulize wewe, kwani Nondo kafanya nini, au kasema kitu gani kinacho weza kumuudhi mama au watu wake wanaomfanyia uchafu?
Abdul Nondo katumia "Lugha isiyo kuwa ya staha" mahali popote ikimlenga mama?

Kuna mambo gani kayafanya Abdul hadi yapelekee kimtokee kilicho tokea hapa!
 
Jiwe alipotenda haya alikufa kama mbwa.

Damu za watu walioumbwa kwa Sura na mfano wa Mungu hazitamuacha salama anaetoa maagizo ya kuteka na kuua.

Ukimya wa mama kwa vyovyote ni mhusika
 
Ukimwambia mtoto wa Mwalimu J K Nyerere kuwa ni Number Plate ndio sahihi na sio plate number kwa lugha ya malkia atakubishia mpaka mnaenda motoni wote...
 
Mara nyingi tabia mbaya ina uraibu,ikishaanza kuiondoa huwa kazi ngumu saana.Hii michezo ya kuuana au kutekana kisiasa iliyoshamiri awamu ya taño kuiondoa ni vigumu saana kwakuwa kwa asilimia flan inawanufaisha watawala.Hata ukisoma bible wafalme walipoanzisha madudu hasa kuabudu miungu na kuwapinga/kuwa ua manabii waliowakosoa,ili watesa sana wafalme waliofuata hata kama walionekana kuanza vizuri kwa kuyapinga mabaya ya watangulizi wao, lakin walijikuta wameyafanya yaleyale tena mpaka zaidi.Kwahyo master mind wa hiyo falsafa kesha tuachia msala na kadri inavoendelea ni wazi sio rahisi ikawa na mwisho mzuri.Maana katika hao wanao hisi au kuonewa wengine wanaweza kuwa na roho ya Nyegere.Ni neema ya Mungu tuu iingilie kati.
 
Nina wasiwasi sana kuna genge linalo muendesha naye yupo picha tuu.
 
Kibao alifanya nini?
 
Ukimwambia mtoto wa Mwalimu kuwa ni Nunber Plate ndio sahihi na sio plate number kwa lugha ya malkia atakubishia mpaka mnaenda motoni wote...
Naam, Kama vile KUKU mweupe-white HEN na au KIATU cheusi- black SHOE , aah, lugha zilizo kuja kwenye meli kwa kweli mmh, KAZI ipo !
 
Kuna wakati Mange Kimambi aliwahi sema kitu kuhusu tabia za watanzania,ni watu wa hovyo when it comes kudai haki,watu wako ccm kulinda usalama wao na mali zao,in fact watu wanasema Mbowe such such lakini Mbowe ameumizwa sana na siasa za Tz.
CCM shall never die kama watatenda haki muda wote,lakini kama hawatatenda haki ni wazi hali itakuwa Tete.
 
Chukuwachakomapema bila vyombo vya usalama NI BUTU
 
Hawa waha si ndio wana TV za asili, hapo babu ashapigiwa akacheki mitambo, anyone mpaka preview/replay, sasa chadema wanajifanya wasomi, mpaka leo hawajui Soka yuko wapi, na nani alimfanyia umafia Lissu, tusidharau asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…