Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gentleman,Tunahangaika Kawasaki Mapunga wakati mmejazana tu, mitaa
Acha upumbavu mkuu, watu tunapoteza ndugu zetu mpaka Leo hatujui wako wapi kisha mnasema utekaji haupo?. Mbona yule Deo alietaka kutekwa kibamba picha zawatekaji zipo nahawajakamatwa mpaka Leo. Mkajifunze yaliyotokea 2010 mkoani Mara juu ya watu 17 kuuawawa kwa mapanga, sasa mnataka mturudishe kule.Gentleman,
kusingizia mambo ambayo sio na hayapo ni zaidi ya ushirikina.
anatekwa wa nini kijana legevu na laini kama yule muungwana?
acheni unafiki wa kizembe hivyo ndrugu zango 🐒
Maelezo hayo hapo juu yanajitosheleza,Gentleman,
elezea kwa kina kifupi zaidi kwa faida ya wadau wa JF 🐒
Alikuwa muasisi? Ulimboka alitekwa nani akiwa rais?Magufuli ndio muasisi wa huu ubaradhuli.
Gentleman,Acha upumbavu mkuu, watu tunapoteza ndugu zetu mpaka Leo hatujui wako wapi kisha mnasema utekaji haupo?. Mbona yule Deo alietaka kutekwa kibamba picha zawatekaji zipo nahawajakamatwa mpaka Leo. Mkajifunze yaliyotokea 2010 mkoani Mara juu ya watu 17 kuuawawa kwa mapanga, sasa mnataka mturudishe kule.
Sujui nchi yetu inaelekea wapi ?Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam.
Tumefika Kituoni, ingawa Polisi wamekataa, tumekuta Landcruiser iliyotumika kumteka Nondo ikiwa inabadilishwa number plates. (kutoka zile za IST zilizotangazwa na Msemaji wa polisi na kuwekwa zingine).
Soma Pia: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Picha chini ndio gari iliyomteka Nondo ikiwa Kituo cha Polisi Gogoni, Kibamba.
View attachment 3166701
Polisi ni dhahiri mpo na Nondo, tafadhali mwacheni huru akiwa mzima wa afya BILA HATA MCHUBUKO! Tafadhali Tafadhali Tafadhali!
Labda nikuulize wewe, kwani Nondo kafanya nini, au kasema kitu gani kinacho weza kumuudhi mama au watu wake wanaomfanyia uchafu?Tanzania yetu....
Hivi mama,umeridhika na haya yote kweli?
Kama ni maagizo yako I swear mwisho wako waweza kuwa wa aibu.... naamini siyo wewe maana haiwezekani mwanamke mwenye utungu akawa katili kwa watoto wa wenzie namna hii...hapana haiwezekani ikawa ni maagizo yako mama.Daah
Jiwe alipotenda haya alikufa kama mbwa.Tanzania yetu....
Hivi mama,umeridhika na haya yote kweli?
Kama ni maagizo yako I swear mwisho wako waweza kuwa wa aibu.... naamini siyo wewe maana haiwezekani mwanamke mwenye utungu akawa katili kwa watoto wa wenzie namna hii...hapana haiwezekani ikawa ni maagizo yako mama.Daah
Nina wasiwasi sana kuna genge linalo muendesha naye yupo picha tuu.Tanzania yetu....
Hivi mama,umeridhika na haya yote kweli?
Kama ni maagizo yako I swear mwisho wako waweza kuwa wa aibu.... naamini siyo wewe maana haiwezekani mwanamke mwenye utungu akawa katili kwa watoto wa wenzie namna hii...hapana haiwezekani ikawa ni maagizo yako mama.Daah
Kassim Hanga alitekwa utawala wa awamu ya kwanza na alipotezwa. Mwalimu naye alikufa kama mbwa?Jiwe alipotenda haya alikufa kama mbwa...
Kibao alifanya nini?Labda nikuulize wewe, kwani Nondo kafanya nini, au kasema kitu gani kinacho weza kumuudhi mama au watu wake wanaomfanyia uchafu?
Abdul Nondo katumia "Lugha isiyo kuwa ya staha" mahali popote ikimlenga mama?
Kuna mambo gani kayafanya Abdul hadi yapelekee kimtokee kilicho tokea hapa!
Naam, Kama vile KUKU mweupe-white HEN na au KIATU cheusi- black SHOE , aah, lugha zilizo kuja kwenye meli kwa kweli mmh, KAZI ipo !Ukimwambia mtoto wa Mwalimu kuwa ni Nunber Plate ndio sahihi na sio plate number kwa lugha ya malkia atakubishia mpaka mnaenda motoni wote...
Kuna wakati Mange Kimambi aliwahi sema kitu kuhusu tabia za watanzania,ni watu wa hovyo when it comes kudai haki,watu wako ccm kulinda usalama wao na mali zao,in fact watu wanasema Mbowe such such lakini Mbowe ameumizwa sana na siasa za Tz.Hivi upumbavu huu utavumiliwa hadi lini? How long shall they kill our brothers and sisters while we standa aside and look? Itoshe Sasa, km hakuna la kufanya kuizuia CCM na state machinery zake kuteka, kupoteza Na kuua watu, wapinzani waache siasa. Mnasababisha Maisha ya watu kukatishwa kikatili, wengine wakiwa bado vijana wadogo wenye ndoto kubwa maishani. Kubalini kujiunga CCM in mass kama mnapenda siasa, ili kuponya uhai wenu na familia zenu. Angalia Peter Msigwa, ss hv ana guarantee ya kutokuguswa na Polisi au TISS, hata akisema Jambo baya jukwaani. Hawezi Tena kutekwa Wala kupotezwa. Ana bima ya usalama wake na familia yake.
Mbowe, Zitto na wengine, waoneeni huruma hawa vijana, bado wadogo sana kufukiwa ardhini mapema hivi. Kina Soka huenda walishaoza muda mrefu. Hatujui waliuwawaje. CCM hawana huruma. Kwao ni maslahi tu. Achaneni na siasa, km hakuna njia ya kuizuia CCM kuendesha udhalimu huu. Mtazima ndoto za vijana wengi wanaowaamini na kuwafuata huku mkijua CCM watachukua roho zao muda wowote walitaka.
Chukuwachakomapema bila vyombo vya usalama NI BUTUTumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam.
Tumefika Kituoni, ingawa Polisi wamekataa, tumekuta Landcruiser iliyotumika kumteka Nondo ikiwa inabadilishwa number plates. (kutoka zile za IST zilizotangazwa na Msemaji wa polisi na kuwekwa zingine).
Soma Pia: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Picha chini ndio gari iliyomteka Nondo ikiwa Kituo cha Polisi Gogoni, Kibamba.
View attachment 3166701
Polisi ni dhahiri mpo na Nondo, tafadhali mwacheni huru akiwa mzima wa afya BILA HATA MCHUBUKO! Tafadhali Tafadhali Tafadhali!
Hawa waha si ndio wana TV za asili, hapo babu ashapigiwa akacheki mitambo, anyone mpaka preview/replay, sasa chadema wanajifanya wasomi, mpaka leo hawajui Soka yuko wapi, na nani alimfanyia umafia Lissu, tusidharau asiliTumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam.