Pre GE2025 Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika tumekuta gari inabadilishwa Plate namba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hili Polisi wetu mnatia aibu kama mnamkamata mtu mkiwa na nia njema kwa nini mnafichaficha mambo?
 
Usihangaike naye huyo, kama Bwana wangu aishivyo, anachotafuta atakipata.
 
Hivi ushawai ona mateso ya mama wa kambo?
maana haiwezekani mwanamke mwenye utungu akawa katili kwa watoto wa wenzie namna hii....

Mwanake nikiumbe kingine kabisa hujawai sikia kajifungua na kutupa mtoto?

NIKAWAIDA
 
Zito anataka kuwaumbua polisi maana kama yupo humo kweli mtihani uliopo ni namna ya kumtoa bila makachero ya Zitto kunyaka tukio na camera

Zito anataka kuwaumbua polisi maana kama yupo humo kweli mtihani uliopo ni namna ya kumtoa bila makachero ya Zitto kunyaka tukio na camera.
Hapo kuna Police wamevujisha mchongo ,maana hadi picha ya gari imepigwa kituoni na maelezo kuwa imebadilishwa namba.simply kuna mapolice hawakubaliani na hayo matendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…