Pia kuna THE RESCUE inaelezea watoto 12 waliokwama pangoni huko Thailand mwaka 2018Hili tukio limenikumbusha movie ya zaman inayoitwa Everybody baby: The rescue of jessica.Pamoja nakwamba ni movie iliyoyokana na true story ila ilionyesha jinsi ambavyo wenzetu wanapambana kuokoa maisha ya mtu kwenye mazingira magumu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Pia China iliwahi kutokea kesi kama hii, ila dogo alipatikana ameshakufaJamaa wanajari sana uhai wa mtu, huku kwatu polisi anakuua Ili akuibie kibunda Chako (Hadi anashiriki polisi ngazi za juu ***** bongo nchi ngumu hii)
Na waziri anakaa kimya Hadi amsikie raisi kasema (kamwagiza) ndo anashtuka. Waziri wa mambo ya ndani yupo tu hata ajui afanye nini?
Huko kwetu hata wasingejua alikopotelea
Mungu amlaze mahala pema peponi Amin[emoji1374][emoji174][emoji3064]
Hivi yule rubani aliyepotea alipatikana.
Naam..nimeona updates BBC...amefariki baada ya kuokolewa.kwani amekufa mkuu?
Shithole countrySijui kwa nini sisi tunakosa hii highest level of urgency!
Naam..nimeona updates BBC...amefariki baada ya kuokolewa.
Hehe mambo ya zima moto.....kuchelewa sehemu ya tukio halafu wakifika maji hawana na wao wanabaki kua wapenzi watazamajiSijui kwa nini sisi tunakosa hii highest level of urgency!
Pole sana [emoji24]Daaah, nimeumia sana, ni kweli aisee, daah
Correct!Shithole country
yes, kwa mujibu wa BBCkwani amekufa mkuu?
HahaaaaSidhani hata mzazi angepewa nafasi ya kuieleza hiyo sirikali...sana sana angeishia kuambiwa 'KAA CHINI..!!'