Zoezi la kumuokoa mtoto Rayan wa Morocco aliyezama ndani ya kisima cha mita 30 limeingia siku ya 3, tumaini bado

Zoezi la kumuokoa mtoto Rayan wa Morocco aliyezama ndani ya kisima cha mita 30 limeingia siku ya 3, tumaini bado

Jamaa wanajari sana uhai wa mtu, huku kwatu polisi anakuua Ili akuibie kibunda Chako (Hadi anashiriki polisi ngazi za juu ***** bongo nchi ngumu hii)

Na waziri anakaa kimya Hadi amsikie raisi kasema (kamwagiza) ndo anashtuka. Waziri wa mambo ya ndani yupo tu hata ajui afanye nini?
 
Hili tukio limenikumbusha movie ya zaman inayoitwa Everybody baby: The rescue of jessica.Pamoja nakwamba ni movie iliyoyokana na true story ila ilionyesha jinsi ambavyo wenzetu wanapambana kuokoa maisha ya mtu kwenye mazingira magumu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Pia kuna THE RESCUE inaelezea watoto 12 waliokwama pangoni huko Thailand mwaka 2018
 
Jamaa wanajari sana uhai wa mtu, huku kwatu polisi anakuua Ili akuibie kibunda Chako (Hadi anashiriki polisi ngazi za juu ***** bongo nchi ngumu hii)

Na waziri anakaa kimya Hadi amsikie raisi kasema (kamwagiza) ndo anashtuka. Waziri wa mambo ya ndani yupo tu hata ajui afanye nini?
Pia China iliwahi kutokea kesi kama hii, ila dogo alipatikana ameshakufa
 
Mungu amlaze mahala pema peponi Amin[emoji1374][emoji174][emoji3064]
 
20220206_122537.jpg
20220206_122527.jpg
 
Back
Top Bottom