binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Ndio ukweliTatizo la wabongo ni deadline 🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwasubiri siku ziishe ndio mwende kuhuisha taarifa zenu.
Watu mnajua kulalnila,zoezi limetangazwa miezi miwili iliyopita Halafu wote mnaenda siku Nne za mwisho...unategemea Nini! Tuache lawama...,! Wiki mbili nyuma zoezi lilikiwa smooth Kabisa ! Mnawayesa Wafanyakazi wa NMB Kwa uzembe wenu!Zoezi la uhakiki wa taarifa bank ya NMB ni kero kwakweli, foleni ni ndefu kila branch, watendaji hawajipanga, inchukua hadi dk 20 kwa mtu mmoja kuhudumiwa na wahudumu kwa kila branch ni mmoja.
Mara waseme mtandao unasumbua kwahyo mshine inachelewa.
Nimezunguka NMB branch zote Dodoma, msururu wa foleni ni mrefu, uwe umekula umeshiba n uwe n nguvu za kusimama ili kusibiri foleni yako ifike.
Wajipange upya na waongeze muda wa zoezi.
shida ni kwamba wateja wao wengi ni waajiriwa. ukiangalia waajiri wengi unakuta wanakwambia kuwa ili upate salary lazima uwe na bank account ya benki fulani uwe unapokelea mshahara. kwa utumishi navyojua huwa ni NMB na CRDB tu unless kama kuna mabadiliko mapya yalifanyikaHuwezi kubali kuwa wa Tanzania wengi hivi ni wateja wa NMB, tuliowahi walau hatukuteseka sana,
Tatizo la kuongojea tarehe za mwisho mwisho ndilo limewakumba wengi.
Jana mmama mmoja kapewa namba 370, just imagine.
CRDB ni wale wale tu.Mm niliisha achana nao.nikakomba pesa yangu nikapeleka crdb preassure imepungua
Yaani watu wanapata mateso before deadline, kosa lao ni nini? Kwani wapi ilikatazwa kwenda siku za mwisho? NMB huduma zao ni mbovu hata kusiwe na zoezi la uhakiki, watu ni haki yao kusema ukweli, wewe ndio unatakiwa kuacha kulaumu wanaolalamika.Watu mnajua kulalnila,zoezi limetangazwa miezi miwili iliyopita Halafu wote mnaenda siku Nne za mwisho...unategemea Nini! Tuache lawama...,! Wiki mbili nyuma zoezi lilikiwa smooth Kabisa ! Mnawayesa Wafanyakazi wa NMB Kwa uzembe wenu!
Wametoa miezi miwili,maana yake naruhusiwa kwenda siku yeyote katika hizo siku 60...Watu mnajua kulalnila,zoezi limetangazwa miezi miwili iliyopita Halafu wote mnaenda siku Nne za mwisho...unategemea Nini! Tuache lawama...,! Wiki mbili nyuma zoezi lilikiwa smooth Kabisa ! Mnawayesa Wafanyakazi wa NMB Kwa uzembe wenu!
Uwezo wa kuwa na hizo strategy hawana. Unaweza kushangaa Rais akawakosoa kwenye hili wakaja na njia mbadala. Hii mijitu mivivu kufikiriwabadilike zama za kupanga foleni tena 2024!! hawana mfumo secured uhakiki wa online kila mtu kwa wakati wake kuepuka kupotezeana muda.
Wao ni benki ya biashara, sie ni wateja. Wafunge hizo akaunti basi ili tuone nani ameahika mpini na nani ameshika kwenye makali.Watu mnajua kulalnila,zoezi limetangazwa miezi miwili iliyopita Halafu wote mnaenda siku Nne za mwisho...unategemea Nini! Tuache lawama...,! Wiki mbili nyuma zoezi lilikiwa smooth Kabisa ! Mnawayesa Wafanyakazi wa NMB Kwa uzembe wenu!
kwani kwenye tangazo lao walisema msije siku za mwisho mwishoNdo tatizo la binadam, kusubiria siku za mwishomwisho
Mmeenda wote /wengi siku z mwisho.mnategemea.kisiwe na foleni...Jana nimeona NMB Mkoa Fulani kundi la watu kama 300,Sasa hapo utalaumu NiniYaani watu wanapata mateso before deadline, kosa lao ni nini? Kwani wapi ilikatazwa kwenda siku za mwisho? NMB huduma zao ni mbovu hata kusiwe na zoezi la uhakiki, watu ni haki yao kusema ukweli, wewe ndio unatakiwa kuacha kulaumu wanaolalamika.