Zuhura Yunus aolewa na Fumbuka Ng’wanakilala

Najua jamaa atakuwa kamforce sana,najua kakubali tu ili jamii isimshangae kuwa kwanini hana mume

Jamaa ategemee kuipata mbususu mara moja kwa mwezi

Bongo kuishi ki bachelor kwa mwnaume na mwanamke kama umri umekwenda huwa inaleta tafsiri tofauti kwa jamii.

Laiti angekuwa bado UK hata asingekuwa na pressure ya kuolewa kam hizi nchi zetu zinazoendelea. Wenzetu kipaumbele chao ni kupiga kazi tu.
 
Akihojiwa na Salama Jabir alisema hategemei na hana mpango wa kuolewa ktk maisha yake, nadhani Samia atakuwa kamshauri kuolewa
Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Zuhura Yunus amefunga ndoa na Bw. Fumbuka Nkwabi Ng’wanakilala.

Ndoa hiyo ilifungwa siku ya Alhamisi jijini Dar es salaam katika msikiti wa Maamur, Upanga.

View attachment 2463819
 
🤣 🤣 🤣 Kwahio unasemaje?? ukikulia ushuani hauwi mario au?? basi ma mario wengi ni watoto wa ushuani yamezoea kuletewa kila kitu. Jamani ndoa haijali umri na huyo dada umri wala haujaenda. kuoa au kuolewa ni uamuzi wa mtu binafsi tuwaache wayajenge...watanzania mmekalia mi roho mbaya tuu eti wengine wanasema kuhusu kuzaa , kweli karne ya 21 hawajui sasa hivi hakuna umri wa kumkataza mtu kuzaa?? technology!! anyway bongo ni nchi ya kimaskini labda hivyo vitu hawavijui...Hongereni sana Mr & Mrs. Fumbuka.
Miafrika ndivyo ilivyo....roho mbaya kama nyani.
 
Wanaume wa humu wanafikiii, kwamba huyo zuhura umri haujaenda wakati huyu maza atakuwa kwenye 40+, mbona huwa mnawananga wenye 30 ambao hawajaolewa,,

mwanaume kuwa mnafiki ni laana
 
Wengi sana wanakoment negative kuhusu zuhura ...mara umri umeenda, mara magauni ya kiislamu mabaya, ndoa ni jambo la heri kabisa...
Hawana nia mbaya. Ni level yao ya uelewa ndiyo imeishia hapo hawana la maana la kucomment. Kamwe mtu hawezi kutoa positive kama kichwani kuna negativity. Hivo wanacomment kulingana na level yao ya exposure, msongo wao wa kimawazo na uwezo wao ndogo wa kufikiria. Tuwaelewe tu hawana jinsi😀😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…