Zumaridi aviponza Vyombo vya Habari. TCRA yatoa onyo na kuvitaka kusimamia misingi ya utoaji habari

Sahihi kabisa, uhuru wa habari na kujieleza usiwe kwa yale tu wengi wanayopenda kusikia bali hata kwa yale tusiyoyapenda.
 

Serikali inajitahidi kuregualte dini , ila wenye dini hawataki regulation.
 
Wanamuonea sana Zumaridi, mwenyewe anaamini ameshafika mbinguni wanabisha. Wamehakilisha vipi kwamba sio kweli?

Kweli tumetoka kuachana na udikteta wa kila hali lakini TCRA bado wameachwa nyuma kuhusu uhuru wa kuhoji na uhuru huo ni muhimu ili jamii iweze kuwa ktk hali ya juu kutumia bongo zao kuhoji.

Sasa kama wanazuia mtu ku share experience ya ndoto zao iwe za kiimani, kiuvumbuzi, kidini, kiuganga, kisayansi n.k Jamii yetu itakuwa muflisi ktk bongo zetu.
 

Wakeee mpaka wa mawaziri na watendaji wa serikali ambao kila wakiulizwa kitu majibu Yao ni mama ameshatoa Bilion kumi ha ha ha
 
Kwani mkutano wa mwamposa unapokuwa live nani hapo TCRA amehakikisha kinacho zungumzwa pale ndio ukweli? Kuna mtu TCRA amewahi kwenda mbinguni na akatuhakikishia kinacho semwa mikutanoni live ndio ukweli wenyewe?
Wewe ni kenge! Mambo ya Mwamposa achana nayo! Mbona tunapona Sana!
 
Kuna wanaojiita manabii/wachungaji... mwamposa, geor davie, gwajima anayefufua watu na wengine wengi wenye hadithi za kufikirika lakini wamewaacha sijui wanatumia vigezo gani kumbana Zumaridi kiasi hiki
 
Nilimdharau Millard Ayo ,nilimuombea Hadi Ajali, apate Ajali, afe azikwe !!.


Huwez ruhusu Chombo chako kitumike, Kuzikufuru Mamlaka za juu Mbinguni.


Millard Ayo awe Makini, hapo alipo Mungu tu ndio kashikilia Maisha yake na ambavyo keshajichokea !!.
 
VIPI NA ALIYETOA TAARIFA HIZO AU YEYE YUPO SAHIHI?
 
Uliwaombea hivyo pia wanaorusha habari za Mzee wa Upako, Gwajima, Mwamposa, Geor Davie, Mwakasege, RC, KKKT, TAG, Bushiri n.k??
 
Hii nchi ina viumbe wa ajabu sana mpaka shetani mwenyewe anashangaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Yaani akili za wabongo zinawaza kupigana miti na kula tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…